Ila tusiwatuhumu jiji ama chama fulani cha siasa.
Let me speak the reality here, chanzo cha yote haya ,vurugu za kila mara ni chadema,hv wamachinga wanaokuwa wanapanga bidhaa zao eneo sabasaba na tai five hotel,na uwanja wa karibu na mwaloni siku za alhamisi na jumapili,,,hawana akili,kwa nini hao wajibane katikati ya njia halafu nje ya maduka ya watu?nenda katika nchi yeyote kama utakuta wamachinga wamekaa ovyo hivyo mijini ni mwanza tu hapa,je wanalipia kodi hapo kwa jiji?na kama hawalipi huoni kuwa mapato ya jiji yanapotea kwa sababu ya chama kimoja kinachowapa kichwa?nawaambia hata chadema ikiingia madarakani watakuja kutolewa tu coz sio mahala stahili,they have to leave the place sema serikali imelifumbia macho tu lakini wanapoteza mapato,