GoodHuoni zanzibar alivyoshinda Maalim na kutapeliwa ushindi,wako tayari kumwaga damu ilimradi wabaki madarakani!
Huo ndio ukweli na wakiendelea hivyo ipo siku watapata wanachokitafuta!
Wakaongelee wapi wakati mikutano ya kisiasa imepigwa marufuku, mitandao ya kijamii imewekewa vikwazo kutokana na sheria mpya ya habari iliyopitishwa kwa rushwa ya 10000000 kwa kila mbunge wa ccm ? Pia wanaohoji maswala haya kama Ben Saanane kupotea katika mazingira ya kutatanisha? Toa mapendekezo wewe ungefanyaje kuwasaidia wapinzani kufikisha ujumbe wao kwa wananchi?Tumeshuhudia CCM ikishutumiwa kwa rushwa,ufisadi na kushindwa kuihudumia jamii ipasavyo hivyo kuifanya Tanzania kuendelea kuwa maskini huku tukiwa na utajiri mkubwa wa rasilimali haya pia yamesemwa na viongozi wakubwa wa chama na serikali akiwemo Mh Magufuli wakati wa kampeni na hata baada ya kutawazwa urais lkn kwanini upinzani unashindwa kuutumia nafasi ya udhaifu huu mkubwa wa ccm na kuchukua majimbo yote na hata urais? Au hii inamaanisha upinzani ni dhaifu zaidi kuliko ccm hata wananchi wakaipa ccm kura za ZIMWI LIKUJUALO HALIKULI LIKAKWISHA?
Nawasilisha.
Kwani upinzani umeanza mwaka huu? Sab hayo mambo yametokea mwaka huu halikadhalika ccm haijaanza kuharibu mwaka huu.Wakaongelee wapi wakati mikutano ya kisiasa imepigwa marufuku, mitandao ya kijamii imewekewa vikwazo kutokana na sheria mpya ya habari iliyopitishwa kwa rushwa ya 10000000 kwa kila mbunge wa ccm ? Pia wanaohoji maswala haya kama Ben Saanane kupotea katika mazingira ya kutatanisha? Toa mapendekezo wewe ungefanyaje kuwasaidia wapinzani kufikisha ujumbe wao kwa wananchi?
Uimara wa CCM,ni kukiri Udhaifu wake na kisha kuutumia kujirekebisha na kuwa madhubuti maradufu,Udhaifu wa Upinzani na hasa CHADEMA ni kushindwa kuutambua,kuukubali Udhaifu Wao na hivyo kushindwa kukua na kubadilika!Tumeshuhudia CCM ikishutumiwa kwa rushwa,ufisadi na kushindwa kuihudumia jamii ipasavyo hivyo kuifanya Tanzania kuendelea kuwa maskini huku tukiwa na utajiri mkubwa wa rasilimali haya pia yamesemwa na viongozi wakubwa wa chama na serikali akiwemo Mh Magufuli wakati wa kampeni na hata baada ya kutawazwa urais lkn kwanini upinzani unashindwa kuutumia nafasi ya udhaifu huu mkubwa wa ccm na kuchukua majimbo yote na hata urais? Au hii inamaanisha upinzani ni dhaifu zaidi kuliko ccm hata wananchi wakaipa ccm kura za ZIMWI LIKUJUALO HALIKULI LIKAKWISHA?
Nawasilisha.
Pa mapupu genu mmwe!Tumeshuhudia CCM ikishutumiwa kwa rushwa,ufisadi na kushindwa kuihudumia jamii ipasavyo hivyo kuifanya Tanzania kuendelea kuwa maskini huku tukiwa na utajiri mkubwa wa rasilimali haya pia yamesemwa na viongozi wakubwa wa chama na serikali akiwemo Mh Magufuli wakati wa kampeni na hata baada ya kutawazwa urais lkn kwanini upinzani unashindwa kuutumia nafasi ya udhaifu huu mkubwa wa ccm na kuchukua majimbo yote na hata urais? Au hii inamaanisha upinzani ni dhaifu zaidi kuliko ccm hata wananchi wakaipa ccm kura za ZIMWI LIKUJUALO HALIKULI LIKAKWISHA?
Nawasilisha.
Umeelewa lakini nilicho andika au umeleta maada tayari ukiwa na majibu yako mkuu? Naomba uludie upya kusoma kisha use me neno !Kwani upinzani umeanza mwaka huu? Sab hayo mambo yametokea mwaka huu halikadhalika ccm haijaanza kuharibu mwaka huu.
Kwa kifupi kama hujui Tanzania hakuna wapinzani vyama vyote vya upinzani ni matawi ya ccmUmeelewa lakini nilicho andika au umeleta maada tayari ukiwa na majibu yako mkuu? Naomba uludie upya kusoma kisha use me neno !
Mie nimehamia DRC! MtajijuTumeshuhudia CCM ikishutumiwa kwa rushwa,ufisadi na kushindwa kuihudumia jamii ipasavyo hivyo kuifanya Tanzania kuendelea kuwa maskini huku tukiwa na utajiri mkubwa wa rasilimali haya pia yamesemwa na viongozi wakubwa wa chama na serikali akiwemo Mh Magufuli wakati wa kampeni na hata baada ya kutawazwa urais lkn kwanini upinzani unashindwa kuutumia nafasi ya udhaifu huu mkubwa wa ccm na kuchukua majimbo yote na hata urais?
Au hii inamaanisha upinzani ni dhaifu zaidi kuliko ccm hata wananchi wakaipa ccm kura za ZIMWI LIKUJUALO HALIKULI LIKAKWISHA?
Nawasilisha.