Tumeshuhudia CCM ikishutumiwa kwa rushwa,ufisadi na kushindwa kuihudumia jamii ipasavyo hivyo kuifanya Tanzania kuendelea kuwa maskini huku tukiwa na utajiri mkubwa wa rasilimali haya pia yamesemwa na viongozi wakubwa wa chama na serikali akiwemo Mh Magufuli wakati wa kampeni na hata baada ya kutawazwa urais lkn kwanini upinzani unashindwa kuutumia nafasi ya udhaifu huu mkubwa wa ccm na kuchukua majimbo yote na hata urais?
Au hii inamaanisha upinzani ni dhaifu zaidi kuliko ccm hata wananchi wakaipa ccm kura za ZIMWI LIKUJUALO HALIKULI LIKAKWISHA?
Nawasilisha.
Au hii inamaanisha upinzani ni dhaifu zaidi kuliko ccm hata wananchi wakaipa ccm kura za ZIMWI LIKUJUALO HALIKULI LIKAKWISHA?
Nawasilisha.