CCM chama wa wambeya!

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
ccm walisema mengi kuhusu chadema. mengi yaliyosemwa ni uongo mtupu. leo imedhihirika hata umbeya wa wenyewe kwa wenyewe, wanasemana vibaya. kwani sumaye kukopa tatizo ni nini? utafanyeje biashara bila kulipa? hayo mashamba amemnyanganya nani akalalamika? umbeya wameuhamisha kutoka chadema kwenda ndani ya chama. tatizo naona ni mwenyekiti wao kuwa mswahili na walio chini yake wamekuwa waswahili. wakati wa mkapa sikuona wana ccm wakilumbana.
 
Sema mwenyekiti wenu,maana umeandika post kwa uchungu sana na wanao umia ni wana-ccm tu
 
kweli ccm wambeya maneno wanayosema ni umbeya hayana ukweli na wameshindwa thibitisha refer sakata la cdm mawaziri walivyoongea umbea ka S. Simba. Na wao wenyewe kazi ni kusema umbeya ktk vyombo vya habari na kusutana wao kwa kwao wametopea ktk umbea na kusutana na kusahau shida na matatizo ya waTz ambayo wao wanatakiwa kuyatatua
 
Back
Top Bottom