CCM ni chama kilichopoteza mwelekeo na mvuto kwa sababu ya kukumbatia ufisadi. Natoa angalizo mambo yanavyoendelea ndani ya CCM inaashiria kinaelekea ukingoni. Ubinafsi, jeuri na uzandiki ndio inachokigharimu CCM siku hiza. CCM isipoangalia inajichimbia kaburi.Imeandikwa mshahara wa dhambi ni mauti.Mtawafanya Watanzania mabwege kwa muda kidogo lakini wakitoka kwenye usigizi huo ni hali itakuwa mbaya sana kwa CCM.