CCM chama changu Lowassa raisi wangu

CCM chama changu Lowassa raisi wangu

Njanga Tz

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
843
Reaction score
655
Freeman Mbowe kakiuza chama kwa Lowasa, Alitaka kuuza na UKAWA......
Nimaneno aliyoyasema Nape pale ofisi ndogo akicheka na kutabasamu kwa bashasha. Hivi anaweza kutuonesha risiti ya hayo mauziano au atuambie hzo pesa walideposit bank ip basi atuoneshe ata payslip.

Zama hizi sio kama zile wananchi hawadanganyiki kwa maneno matupu inabidi uje na ushahidi wa kutosha CCM ni taasisi kubwa huwezi ukaongea vitu bila kuwa na evidence wananchi wakajua hayo manunuzi ya Lowasa yalifanyikaje, wapi, lini na hizo pesa ni kiasi gani. Lasivyo ni kuidharirisha CCm yetu nakuonekana waropokaji kwa propaganda za kitoto kama hizi.

Uku mtaani mnatupa shida sana kwa kufanya propaganda za kitoto kama hzo ambazo hazina mashiko.
Sasa ni wakati wakuja na mbinu mpya na nzuri za wakuwafanya wananchi wasisimuke sio kwa utoto huo.

# CCM chama changu Lowasa raisi wangu.
 
... Hata Mimi Ni Mwana Ccm Kindakindaki Lakini Huniambii Kitu Kwa Lowassa.
 
... Hata Mimi Ni Mwana Ccm Kindakindaki Lakini Huniambii Kitu Kwa Lowassa.
Kuna wana ccm wengi sana wanasema chama hawahami lakini kura kwa Lowassa. Huyu Jamaa anapendwa hadi najiuliza maswali.
 
Mtaani kwangu wengi waciciem wanasema hivi wanakadi za ciciem ila upresda EL najiuliza kwa nini sipati jibu. Kabla hajakatwa waupinzani nao walikuwa hivo akakweli EL mwaka huu wake.
 
nape n mojawapo wa wanaokiua chama. ni mropokaji...
yan cjui yukoje?
 
kweli wakuu,mm ni cdm damu bt nilikua njia panda kama lowasa angepitishwa na ccm,kama zali vile kanifuata!
 
Lowasa hata angekuwa bdo yupo ccm kura yangu ilikuwa yake hata awe ICU nitampa hvo hvo
 
Nape anawamaliza ccm sema kiukweli el ni mtu wa watu kila kona.
 
Back
Top Bottom