mgosi9
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,581
- 261
Lowasa hata angekuwa bdo yupo ccm kura yangu ilikuwa yake hata awe ICU nitampa hvo hvo
Hahahahahahahaaa! Lowassa Ana Nyota Ya Ajabu Mwenyezi Mungu Ampe Afya Njema.
Lowasa hata angekuwa bdo yupo ccm kura yangu ilikuwa yake hata awe ICU nitampa hvo hvo
kweli wakuu,mm ni cdm damu bt nilikua njia panda kama lowasa angepitishwa na ccm,kama zali vile kanifuata!