Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,371 Oct 19, 2011 #1 Wakuu hivi kirefu cha ccm kina maanisha nini kwa upande wa bara?kwani kwa upande wa Zanzibar kitakuwa kina maana kidogo kutokana na kweli yalifanyika Mapinduzi, je kwa upande wa bara walifanya mapinduzi gani? Kwa anae jua zaidi anijuze
Wakuu hivi kirefu cha ccm kina maanisha nini kwa upande wa bara?kwani kwa upande wa Zanzibar kitakuwa kina maana kidogo kutokana na kweli yalifanyika Mapinduzi, je kwa upande wa bara walifanya mapinduzi gani? Kwa anae jua zaidi anijuze
rosemarie JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 6,887 Reaction score 3,439 Oct 19, 2011 #2 chama cha mafisadi
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Oct 19, 2011 #3 ni mapinduzi kutoka uelevu na kuwa mbumbu kwa wadanganyika..
KakaKiiza JF-Expert Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,902 Reaction score 9,323 Oct 19, 2011 #4 Sitaki kukisemea kwakuwa siyo chama changu!
K kingtuma Member Joined Jan 15, 2011 Posts 88 Reaction score 10 Oct 19, 2011 #5 Kwa kuwatoa "wadanganyika" ktk nchi ya ujamaa na kujitegemea hadi kwenye unyama na kujimegea