Wadau
Chama Cha Mapinduzi Kimetajwa kuwa miongozi mwavyama Bora vya Siasa Duniani ukiondoka Chama Tawala China. Sababu ya Chama hicho kutajwa kuwa Chama bora ni pamoja na:
1. Mfumo bora wa kurithishana Mafaraka( Succession Plan)
2. Demokrasia iliyotukuka
3. Kuwa Karibu sana na Wananchi hasa Maskini.
4. Sera imara zenye kutetea Wanyonge
5. Kusimamia ipasavyo Harakati za Ukombozi Duniani ikiwemo Nchi za Kusini Mwa Afrika.
6. Chama pekee chenye matawi kila Kijiji Nchini.
7. Kusimamia Amani, Umoja na Mshikamano Ipsavyo.
Ahsanteni
Waweza ongezea mengine mazuri Kama nimesahau
Dada vipi habari yako?Yeuwii
Hakuna chama kinachoamini kupingana kwa hoja ni uadui kikawa chama bora kamweWadau
Chama Cha Mapinduzi Kimetajwa kuwa miongozi mwavyama Bora vya Siasa Duniani ukiondoka Chama Tawala China. Sababu ya Chama hicho kutajwa kuwa Chama bora ni pamoja na:
1. Mfumo bora wa kurithishana Mafaraka( Succession Plan)
2. Demokrasia iliyotukuka
3. Kuwa Karibu sana na Wananchi hasa Maskini.
4. Sera imara zenye kutetea Wanyonge
5. Kusimamia ipasavyo Harakati za Ukombozi Duniani ikiwemo Nchi za Kusini Mwa Afrika.
6. Chama pekee chenye matawi kila Kijiji Nchini.
7. Kusimamia Amani, Umoja na Mshikamano Ipsavyo.
Ahsanteni
Waweza ongezea mengine mazuri Kama nimesahau
Nakubaliana na wewe kwa sababu,
1. Ni CCM ndio ambayo, miongoni mwa marais iliowahi kuwatoa, ukiacha Nyerere, wengine wote wana tuhuma za wizi, ufisadi na kila aina ya uovu.
2. Ndio jumuiya pekee ambayo ndio chaka kuu la mafisadi nchini.
3. Ndiyo chama pekee ambayo kikubwa ilichoweza ni kuifanya nchi kuendelea na kuwa na matatizo ya kipumbavu kabisa kama vile ukosefu wa maji safi na salama hata baada ya kuwa madarakani kwa zaidi ya miaka 50
4. Ni chama pekee amabacho, hata baada ya kuongoza nchi kwa zaidi ya miaka 50, bado tegemeo kubwa la wananchi ni vijizahanati vizivyo na vitendea kazi na shule za kata zenye uhaba mkubwa wa walimu
5. Ni chama pekee ambacho kimefanikiwa kuwa na sera zilizowezesha kutoa elimu iliyofanya Tanzania iwe na largest population ya watu wenye uelewa mdogo zaidi na ndio maana haishangazi kuwaona wakiishangilia serikali huku wenyewe wakiwa hawana mbele wala nyuma!

Mimba changa, ikikomaa utajua hawa ni wezi suguWadau

Wewe nawe, kwa hiyo unataka utufanye sisi kama Libya Eenh!! Acheni kushabikia mambo yasiyo na Tija kwako na Kwa Taifa let la Tanzania. Wewe unadhani akiingia Chadema au upinzani mwingine nchi itabadilika kama unavyodhani? Watanzania sisi sio manyumbu nchi tumkabidhi FISADI kama mnavyotaka. Tumeridhishwa na utendaji wa CCM.Nakubaliana na wewe kwa sababu,
1. Ni CCM ndio ambayo, miongoni mwa marais iliowahi kuwatoa, ukiacha Nyerere, wengine wote wana tuhuma za wizi, ufisadi na kila aina ya uovu.
2. Ndio jumuiya pekee ambayo ndio chaka kuu la mafisadi nchini.
3. Ndiyo chama pekee ambayo kikubwa ilichoweza ni kuifanya nchi kuendelea na kuwa na matatizo ya kipumbavu kabisa kama vile ukosefu wa maji safi na salama hata baada ya kuwa madarakani kwa zaidi ya miaka 50
4. Ni chama pekee amabacho, hata baada ya kuongoza nchi kwa zaidi ya miaka 50, bado tegemeo kubwa la wananchi ni vijizahanati vizivyo na vitendea kazi na shule za kata zenye uhaba mkubwa wa walimu
5. Ni chama pekee ambacho kimefanikiwa kuwa na sera zilizowezesha kutoa elimu iliyofanya Tanzania iwe na largest population ya watu wenye uelewa mdogo zaidi na ndio maana haishangazi kuwaona wakiishangilia serikali huku wenyewe wakiwa hawana mbele wala nyuma!
KweliCCM..Kusanyiko la MAJIZI.
chama bora cha siasa kinachotegemea polisi ili kushindana na washindani wake... kama kweli ni chama bora na kina kubalika tuleteni katiba mpya na tume huru ya uchaguzi jamani tuone namna chama chetu kinavyokubalika.Wadau