Ntuzu JF-Expert Member Aug 8, 2013 17,418 10,852 Jan 13, 2014 #141 Alhaj Malik Elshabaz said: Kumbe nadiscuss na zuzu,me nilidhan ni mtu mwenye hoja za kujisimamia mwenyewe kumbe empty? Ok,kwaheri Click to expand... Pole sn! Wewe unakuja Speed unaanza kuukata mti Wa Mpingo kwa kiwembe ukizani utauangusha! Pole yako! Eti ukweli! Ukweli unaujua wewe?! Kwaheri ya kuonana!
Alhaj Malik Elshabaz said: Kumbe nadiscuss na zuzu,me nilidhan ni mtu mwenye hoja za kujisimamia mwenyewe kumbe empty? Ok,kwaheri Click to expand... Pole sn! Wewe unakuja Speed unaanza kuukata mti Wa Mpingo kwa kiwembe ukizani utauangusha! Pole yako! Eti ukweli! Ukweli unaujua wewe?! Kwaheri ya kuonana!
THE BIG SHOW JF-Expert Member Feb 28, 2012 16,373 12,920 Jan 14, 2014 Thread starter #142 Ntuzu said: Pole sn! Wewe unakuja Speed unaanza kuukata mti Wa Mpingo kwa kiwembe ukizani utauangusha! Pole yako! Eti ukweli! Ukweli unaujua wewe?! Kwaheri ya kuonana! Click to expand... Mmeshindwa kudiscuss hoja za mleta hoja,mmekimbilia kwenye viroja, Watu wa ajabu sana nyinyi.
Ntuzu said: Pole sn! Wewe unakuja Speed unaanza kuukata mti Wa Mpingo kwa kiwembe ukizani utauangusha! Pole yako! Eti ukweli! Ukweli unaujua wewe?! Kwaheri ya kuonana! Click to expand... Mmeshindwa kudiscuss hoja za mleta hoja,mmekimbilia kwenye viroja, Watu wa ajabu sana nyinyi.
Ntuzu JF-Expert Member Aug 8, 2013 17,418 10,852 Jan 14, 2014 #143 Alhaj Malik Elshabaz said: Mmeshindwa kudiscuss hoja za mleta hoja,mmekimbilia kwenye viroja, Watu wa ajabu sana nyinyi. Click to expand... Aya Mkuu umeshinda! Mimi nimekubali kushindwa Mkuu!
Alhaj Malik Elshabaz said: Mmeshindwa kudiscuss hoja za mleta hoja,mmekimbilia kwenye viroja, Watu wa ajabu sana nyinyi. Click to expand... Aya Mkuu umeshinda! Mimi nimekubali kushindwa Mkuu!
D Dk.maji marefu Member Aug 13, 2013 59 3 Jan 14, 2014 #144 Wanajamii forum ninaomba mniambie kilipo kiwanda cha kutengeneza na kuuza mifuko ya viroba vya kuweka unga,sukari na mchele,tusaidiane jamani.
Wanajamii forum ninaomba mniambie kilipo kiwanda cha kutengeneza na kuuza mifuko ya viroba vya kuweka unga,sukari na mchele,tusaidiane jamani.
TUJITEGEMEE JF-Expert Member Nov 6, 2010 23,974 23,244 Jan 14, 2014 #145 ARAP SANG said: Mkuu Safari ni Safari naipenda saana lugha yako ya picha Thank you Click to expand... Huyu na mwaminia sana kwenye lugha za picha nadhani atakuwa na hisa nyingi sana huko Getty Images. Getty Images: About us
ARAP SANG said: Mkuu Safari ni Safari naipenda saana lugha yako ya picha Thank you Click to expand... Huyu na mwaminia sana kwenye lugha za picha nadhani atakuwa na hisa nyingi sana huko Getty Images. Getty Images: About us
THE BIG SHOW JF-Expert Member Feb 28, 2012 16,373 12,920 Jan 14, 2014 Thread starter #146 Dk.maji marefu said: Wanajamii forum ninaomba mniambie kilipo kiwanda cha kutengeneza na kuuza mifuko ya viroba vya kuweka unga,sukari na mchele,tusaidiane jamani. Click to expand... Dr Maji marefu unauliza swali lako uko serious kweli??
Dk.maji marefu said: Wanajamii forum ninaomba mniambie kilipo kiwanda cha kutengeneza na kuuza mifuko ya viroba vya kuweka unga,sukari na mchele,tusaidiane jamani. Click to expand... Dr Maji marefu unauliza swali lako uko serious kweli??
THE BIG SHOW JF-Expert Member Feb 28, 2012 16,373 12,920 Jan 14, 2014 Thread starter #147 Ntuzu said: Aya Mkuu umeshinda! Mimi nimekubali kushindwa Mkuu! Click to expand... Vema, Ukishindwa ni kukubali kama hivyo,mleta hoja apongezwe kwa umakini na uelewa wake
Ntuzu said: Aya Mkuu umeshinda! Mimi nimekubali kushindwa Mkuu! Click to expand... Vema, Ukishindwa ni kukubali kama hivyo,mleta hoja apongezwe kwa umakini na uelewa wake
Ntuzu JF-Expert Member Aug 8, 2013 17,418 10,852 Jan 14, 2014 #148 Alhaj Malik Elshabaz said: Vema, Ukishindwa ni kukubali kama hivyo,mleta hoja apongezwe kwa umakini na uelewa wake Click to expand... Wewe wasema
Alhaj Malik Elshabaz said: Vema, Ukishindwa ni kukubali kama hivyo,mleta hoja apongezwe kwa umakini na uelewa wake Click to expand... Wewe wasema
THE BIG SHOW JF-Expert Member Feb 28, 2012 16,373 12,920 Jan 14, 2014 Thread starter #149 TUJITEGEMEE said: Huyu na mwaminia sana kwenye lugha za picha nadhani atakuwa na hisa nyingi sana huko Getty Images. Getty Images: About us Click to expand... Ni kweli kabisa
TUJITEGEMEE said: Huyu na mwaminia sana kwenye lugha za picha nadhani atakuwa na hisa nyingi sana huko Getty Images. Getty Images: About us Click to expand... Ni kweli kabisa
Bill Cosby JF-Expert Member Sep 2, 2013 2,588 1,550 Jan 18, 2014 #150 Alhaj Malik Elshabaz said: Dr Maji marefu unauliza swali lako uko serious kweli?? Click to expand... Mkuu hilo jina tu la huyo mdau linaonekana hayuko serious.
Alhaj Malik Elshabaz said: Dr Maji marefu unauliza swali lako uko serious kweli?? Click to expand... Mkuu hilo jina tu la huyo mdau linaonekana hayuko serious.
THE BIG SHOW JF-Expert Member Feb 28, 2012 16,373 12,920 Jan 23, 2014 Thread starter #151 Bill Cosby said: Mkuu hilo jina tu la huyo mdau linaonekana hayuko serious. Click to expand... Nahis atakuwa hana akili timamu,sio bure
Bill Cosby said: Mkuu hilo jina tu la huyo mdau linaonekana hayuko serious. Click to expand... Nahis atakuwa hana akili timamu,sio bure