CCM caucus: Wabunge wapewa maelekezo

CCM caucus: Wabunge wapewa maelekezo

Haya Endelea kuishi kwa kuamini kila uzushi! Ila mimi nimekutahadharisha kuwa ni uzushi.

Lala sasa,wewe kila wakati upo humu na pointless zako.

Yaonekana huna familia maana hata malipo yenu ya kisukule haitoshi kukulipia chumba cha udongo Ngarenaro.
 
Huu ni mfano mmojawapo wa unafiki wa CCM. Kila ninaposema CCM ni wanafiki na hawajali lolote huwa nna maana kuwa kwao chama ni priority ya kwanza (hii ikimaanisha chama kwao =na maslahi yao). Baada ya hapo hakuna kinachofuata. Ningependa niseme kuwa labda wananchi ni priority ya pili lakini utakuwa uongo.

Kwa maana hiyo kinachofanyika bungeni ni sawa na kusema kuwa bajeti hizo mbovu, ndizo zilizobeba maslahi yao na siyo ya wananchi. Kwa hiyo, kama katika bajeti hizo maslahi yao yanatosheleza, wao wako ok nazo, hata kama hazina manufaa na wananchi! Sasa ndiyo mniambie nyie kuwa na hao wabunge wao wanaokubaliana nao kufanya upuuzi wana akili za aina gani?

Hili bunge la sasa linatakiwa kupelekwa likizo wakati linafunguliwa mashtaka ya kudidimiza uchumi na maendeleo ya nchi kwa makusudi.

View attachment 161112

Double standards za maInterahamwe aka ccm. Jangili wa Tembo, Kinana, na vuvuzela wake, Nape, wanazurura nchi nzima wakiilalamikia serikali yao kwa under performance ktk utekelezaji wa ilani. Wkt bunge party caucus wanakaa kupanga mikakati ya kutetea hiyo hiyo underperformance bungeni!!
Angalia hii scenario; Mh Lugola alishika shilling kutoka kwa mshahara wa waziri wa Kilimo na kuungwa mkono na wabunge wa upinzani, wkt wabunge wenzake wa ccm wakimtetea Waziri! Nje ya bunge Kinana na vuvuzela wake walikuwa Tabora kwa wale wakulima wa tumbaku wakimlalamikia waziri. Kinana akiwa kule kwa wakulima alilalamika kama Mh Lugora na alienda mbali zaidi na kumwita waziri yule kama mzigo ambaye inafaa afukuzwe kazi!! Hawa ni chama kimoja na kipindi kimoja!!
 
Nimelipenda hili gari lako lenye taa moja.Kamakungekuwa na sheria inayomwezesha Mwananchi wakawaida kupinga mahakamani hili BUNGE letu,ambalo huwa nachukia sana wakiliita TUKUFU,lipigwe chini na wote wafunguliwe mashtaka ya kunyanyasa watanzania na kuiba mali za Taifa.

Yaani hiyo mahakama mimi ningekuwa mhudhuriaji namba moja mpaka nione mtu wa mwisho anavyoingia selo.
 
Double standards za maInterahamwe aka ccm. Jangili wa Tembo, Kinana, na vuvuzela wake, Nape, wanazurura nchi nzima wakiilalamikia serikali yao kwa under performance ktk utekelezaji wa ilani. Wkt bunge party caucus wanakaa kupanga mikakati ya kutetea hiyo hiyo underperformance bungeni!!
Angalia hii scenario; Mh Lugola alishika shilling kutoka kwa mshahara wa waziri wa Kilimo na kuungwa mkono na wabunge wa upinzani, wkt wabunge wenzake wa ccm wakimtetea Waziri! Nje ya bunge Kinana na vuvuzela wake walikuwa Tabora kwa wale wakulima wa tumbaku wakimlalamikia waziri. Kinana akiwa kule kwa wakulima alilalamika kama Mh Lugora na alienda mbali zaidi na kumwita waziri yule kama mzigo ambaye inafaa afukuzwe kazi!! Hawa ni chama kimoja na kipindi kimoja!!

Niliwahi kusema nadhani ili kuwa mwana CCM ni lazima kwanza uwe chizi. Naanza kufikiria kuongeza sifa za ziada. Nadhani inabidi pia uwe mnafiki, mwongo na mwenye roho mbaya
 
Kweli ukipenda vyeo sana kwa nchi hii ama uwe mchawi sana au uwe chizi, unakumbuka Juma Nkamia kilicho mpa heshima ya hadi akalamba uwaziri? Lile Tusi aliloporomosha bungeni. Unajua kingunge amefikaje bunge la katiba? Tafakari, chukua hatua.
 
Yaani hiyo mahakama mimi ningekuwa mhudhuriaji namba moja mpaka nione mtu wa mwisho anavyoingia selo.

Inabidi tuanze kwenda shule za sheria kwa sasa,maana naona baadaye tutahitajika kufundisha watanzania haki zao za msingi.Haya ya nusu ya watanzania kuwapigia kura hawa wauaji kwa kweli inasikitisha.Mbaya zaidi hawana hata huruma kidogo.

Leo nimeona namna Muhongo anavyoongea ni kama vile ameambiwa why worry watoto wako watasoma shule nzuri,familia yako itaishi vyema,na kila mtu atakuita mheshimiwa na hakuna mtu wa kukuhoji imekuwaje nk.Mpaka hapo nikaona kwa sasa hatuna viongozi walioko wote ni wachumia tumbo tu.
 
Back
Top Bottom