CCM bwana, Mtatudanganya hadi lini?

CCM bwana, Mtatudanganya hadi lini?

ibange

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Posts
1,543
Reaction score
553
Nilikuwa nacheka hapa kuhusu madiwani wa Arusha kukwamisha kikao cha bajeti. Tatizo ni kwamba lazima wahudhurie wajumbe angalao theluthi mbili. Swali linakuja, kama bila madiwani wa chadema kikao hakiwezi kufanyika maana hakutakuwa na theluthi mbili, je, kikao cha uchaguzi kilifanyika vipi? Mbona CCM wanatuambia kilikuwa halali? Mimi nadhani ni afadhali Chadema waendelee kususia vikao, bajeti ishindwe kupita warudi kwenye uchaguzi kama CCM hawataki ku compromise.
 
Wewe acha tu! Siku moja watafuta kauli zote zilizowahi kutolewa na Makamba kuhusiana na Jiji hilo.
 
Back
Top Bottom