Kwenye kura za maoni watu wataopigwa chini watatikisa chama balaa na hakuna wa kuwakemea!!
Wazee waheshma manguli pale wameisha hakuna wa kumkalisha mwingine chini.
Mfano waasira atamkemea nani mtu aligaragazwa kisiasa na binti mdogo Esta!
Kiku boi atamkalisha nani na aliimbiwa "tunaimaaaniiii na lowaaasaaa" akapagawa.
Chadema wasubiri kuvunja na wasiogope mpaka hiki chama Cha maskini kipasuke!!