Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,161
- 48,426
- Thread starter
- #21
Tabaka tawala ndani ya CCM hupenda watu hoyahoya kama wewe, yaani watu wasiojua kuwa chama cha siasa hujengwa juu msingi wa Falsafa, Itikadi na sera na siyo kupuyanga kipropaganda!huwezi kukuta mambo ya hovyo kama hayo ndani ya familia ya kijamaa ya CCM, ndio maana inafahamika kwamba CCM ni ya waTanzania wote.
Ubaguzi wa CCM upo kati ya Koo zinazomiliki CCM na wana CCM wakuja. Na ndiyo maana wenye chama chao husema kuwa CCM ina wenyewe.