Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,608
- 5,269
Mgombea Mwenza Wa Chadema Mwaka Jana Alikuwa Na Elimu Ya STD 7, Mwizi wa Magari Tutampa Waziri Wa Mambo Ya Ndani, Form Four Failure Sugu Waziri Wa Habari na Michezo, Form Four Vicent Nyerere Wizara Ya Elimu...Form Four Msigwa Wizara Ya Tamisemi,..Shibuda Tutamfikiria...SIPATI PICHA BARAZA LA MAWAZIRI KWA MTINDO HUU, MANAKE WABUNGE WASOMI WA KUHESABU
mko pamoja la sivyo una tatizo.. jibu hoja acha majungu.. tetea post yake au ipinge...Kujiunga jana sioni ka ni tatizo,..Hz post nne ni nyingi sana au chache!? We ulitaka aanze kutoa post zake lini baada ya kujiunga!?
Mkuu kwavile umezoea mfumo wa maslahi ya chama kwanza, ndio maana ni rahisi kwako kuamini haya uliyaandika.
Pia mfumo wa kiserikali ambao CHADEMA daima kinapendekeza (wa kutotumia wabunge katika nafasi za serikali yaani katika executive organs) ilo la kuwa na wabunge 23 wala si hoja ya msingi. Hapa pia kwavile umezoea kutokana na mfumo wa serikali za CCM za kuwa na wabunge ambao ni mawaziri, makatibu wakuu wa wizara ambao ni makada wa chama, wakurugenzi makada, wanachama wa bodi za mashirika ya umma, makada etc.
Hivyo wala sikushangai wewe kuwaza hivyo.
Yaani yule mbunge mmoja Tundu Lissu ni sawa na wabunge 200 wa magamba bado hapo sijataja wabunge wengine!
mko pamoja la sivyo una tatizo.. jibu hoja acha majungu.. tetea post yake au ipinge...
Chadema mtaongozaje Dola wakati hamna itifaki?
Hivi nani awe Rais, nani awe waziri na kabineti yenu ita comprise nani na nani? Hapa ninamaana nani ambaye yuko experienced kushika nafasi muhimu za kiuongozi ambazo ni za kisiasa?
Hivi huyu Lema ndo aje kuwa waziri? Au Wenje? Au Mchg. Natse?
Acheni unafiki.
Chadema bado sana.
Hakika Chadema inawanyima sana usingizi.Vyama vingine hujaviona umeona CHADEMA tu?Ni lini CHADEMA walipewa jukumu la kuongoza nchi na wakashindwa?Au unaleta hoja za kufikirika hapa.Tena ni bora tuwe na viongozi kama hao uliowazungumzia wa CHADEMA kuliko kua na viongozi WEZI,MAFISA NA WASIO NA UCHUNGU NA NCHI.Chadema mtaongozaje Dola wakati hamna itifaki?
Hivi nani awe Rais, nani awe waziri na kabineti yenu ita comprise nani na nani? Hapa ninamaana nani ambaye yuko experienced kushika nafasi muhimu za kiuongozi ambazo ni za kisiasa?
Hivi huyu Lema ndo aje kuwa waziri? Au Wenje? Au Mchg. Natse?
Acheni unafiki.
Chadema bado sana.
Chadema mtaongozaje Dola wakati hamna itifaki?
Hivi nani awe Rais, nani awe waziri na kabineti yenu ita comprise nani na nani? Hapa ninamaana nani ambaye yuko experienced kushika nafasi muhimu za kiuongozi ambazo ni za kisiasa?
Hivi huyu Lema ndo aje kuwa waziri? Au Wenje? Au Mchg. Natse?
Acheni unafiki.
Chadema bado sana.
Kamuulize.Hivi magwanda wakishika nchi, SHIBUDA anaweza kupewa nafasi gani?
Mkuu, Chadema wameishasema na tumeona jinsi walivyounda serikali kivuli, walisema wazi hakuna chama makini cha upinzani zaidi ya Chadema..
Na wakajitangaza rasmi kuwa Chadema ni kambi rasmi ya upinzani huku wakiviacha njia panda vyama kama NCCR Mageuzi, TLP, CUF, UDP..
Sasa kama wameshindwa kuwakaribisha wenzao kwenye kwenye kambi ya upinzani bungeni wakichukuwa na nchi ndio wataweza?
Kuhusu kubadili katiba hawawezi sababu katiba si mali ya Chadema ni mali ya watanzania
Umewasahau Prof Kahigi,Prof Baregu,Prof Safari,Dkt Mabere Marando,Mh Tundu Liss,Mh Mdee etc.Kama unazungumzia elimu mbona humsemi std 7 Lukuvi tena amekabidhiwa na Wizara kabisa.Na vp kuhusu elimu ya Majimarefu?Mgombea Mwenza Wa Chadema Mwaka Jana Alikuwa Na Elimu Ya STD 7, Mwizi wa Magari Tutampa Waziri Wa Mambo Ya Ndani, Form Four Failure Sugu Waziri Wa Habari na Michezo, Form Four Vicent Nyerere Wizara Ya Elimu...Form Four Msigwa Wizara Ya Tamisemi,..Shibuda Tutamfikiria...SIPATI PICHA BARAZA LA MAWAZIRI KWA MTINDO HUU, MANAKE WABUNGE WASOMI WA KUHESABU
Mkuu nimependa hicho kinyume.Sisi CCM kwa kuwa tunawatu wa kutosha kuunda Serikali tangia 1961 yafuatayo ndo tumeyafanya:- (a) Tumesaini mikataba bora kwa wananchi na inawanufaisha(the best practice) (b) Uchumi wetu uko imara siku zote(c) Inflation rate iko chini (d) balance of payments tangia Nyerere hadi Kikwete iko favourable ( Export iko kubwa kuliko imports) (e) Shule zetu ziko bora sana- walimu wa kutosha, vitendea kazi vipo, hatutumii madawati bali meza special (d) Barabara zote za mijini Lami tupu (f) Hospitali ndo usiseme: madawa kedelede, madaktari bingwa wapo tu, vitendea kazi kama Appolo (g) flyovers(h) Rushwa kwetu ni historia (i) Tumeweza, tumedhubutu na tunasonga mbele>>>>>!!!!???
Mbona Lusinde humsemi wakati before hajaingia mjengoni alikua PUSHER?Chadema never. Wahuni hao. Kila jambo sharishari. Wabunge wao watano wavita ganja. Wana laana hao