"CHADEMA WAMESHATEKELEZA AHADI YA KUMWAGA DAMU. JUZI WAMEMUUA NDUGU WA MGOMBEA WA CCM MASWA. MJUMBE WA KAMPENI YA SLAA AMEKAMATWA. TUWAKATAE CHADEMA"
Na wewe acha uongo wako Shibuda wala hashikiliwi, inaonekana wewe ndiyo umetunga hizo message na unasambaza.
Aamin.Na wewe acha uongo wako Shibuda wala hashikiliwi, inaonekana wewe ndiyo umetunga hizo message na unasambaza.
we kalumekenge angalia mwanajf mwingine ameshaupata ujumbe naye. na namba zimetofautiana. kuna kitu hapo. ila always utagundua tarakimu moja inamiss. linganisha na namba nilizotoa.Na wewe acha uongo wako Shibuda wala hashikiliwi, inaonekana wewe ndiyo umetunga hizo message na unasambaza.
wanajamii leo nimepokea ujumbe wa simu kutoka kwenye namba 25570781639 inayosema "CHADEMA wametekeleza ahadi ya kumwaga damu. Juzi wamemuuadugu wa mgombea wa ccm maswa. mjumbu wa kampeni ya slaa amekamatwa tuwakatae CHADEMA wamwagaji Damu". hizi msm zanatumwa na nani na hii namba ni kama sio ya kawaida au ndio kutapatapa kwenyewe?
Yeah... hushangai siku hizi vijana wadogo wanakwenda Ikulu kama wanaenda movenpick... tena wale wenye IT companies, haya mambo bwana balaashamte ana gateway ya kupita simu zote zinazopigwa tanzania........
hana hasara hata kidogo kutuma hizo jumbe kwa watu
mimi ujumbe huo umepitia namba 078049550 ila tarakimu moja inamiss hapo kama ilivyo kwenye simu yako.wanajamii leo nimepokea ujumbe wa simu kutoka kwenye namba 25570781639 inayosema "CHADEMA wametekeleza ahadi ya kumwaga damu. Juzi wamemuuadugu wa mgombea wa ccm maswa. mjumbu wa kampeni ya slaa amekamatwa tuwakatae CHADEMA wamwagaji Damu". hizi msm zanatumwa na nani na hii namba ni kama sio ya kawaida au ndio kutapatapa kwenyewe?
matumizi mabaya ya technologia dhidi ya TAIFA.Yeah... hushangai siku hizi vijana wadogo wanakwenda Ikulu kama wanaenda movenpick... tena wale wenye IT companies, haya mambo bwana balaa
mkuu namba inagoma kupokea sms maana tarakimu moja imekosekana. kuna mwanajf mmoja naye kaanzisha thread yake akiwa na ishu kama hii yangu na ametumiwa kutoka namba nyingine but only one digital missing.Usiache kuwajibu wakikutumia msg. USIPOWAJIBU WANAWEZA KUFIKIRI WANAFANIKIWA. WAJIBU KUWA MAKAMBA ALIKUWA ENEO HILO NA TAYARI WALIMTUHUMU SHIBUDA .NI NANI AJUAYE UMAFIA WAO?
KIASI CHA MGOMBEA WA CCM KUWA NA UJASIRI WA KUMPIGA OCD KITUONI. HIYO LAZIMA KUWEPO NA NGUVU KUBWA NYUMA YAKE INAYOASHIRIA JAMBO JUU YA KIFO HICHO. CCM HUPENDA KUTUMIA VIFO KUFANYA KAMPENI KWANI MAISHA YA WATU SIO MUHIMU TENA KWAO. Wajibu pia kuwa mijaribu wakati wa Wangwe lakini Mungu mkubwa iliwageuka CCM na CHADEMA walishinda
mimi ujumbe huo umepitia namba 078049550 ila tarakimu moja inamiss hapo kama ilivyo kwenye simu yako.
Kuna wataalam wa IT wasio waaminifu ktk hizi kampuni za simu wanatumika vibaya
wewe baradhuli, umenikera kweli kwa kuniita mwongo na kunibambikizia kesiNa wewe acha uongo wako Shibuda wala hashikiliwi, inaonekana wewe ndiyo umetunga hizo message na unasambaza.
Habari nilizopata sasa hivi toka Maswa ni kwamba Shibuda bado anashikiliwa na polisi kwa amri ya Makamba. Lakini popularity yake haijateteleka na ndiyo inaongezeka (sympathetic popularity). ni uonezi tu maana hakuwa kwenye tukio. Tuzidi kumwombea