CCM ASILIA TOKENI MAFICHONI

BabuFey

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2023
Posts
2,747
Reaction score
4,349
Ujumbe wangu kwa CCM Asiliaukipenda CCM Masalia Watanganyika tokeni mafichoni nchi yetu inakwenda kubays.
Leo wa wapi Majaliwa.Mpango.Simbachawene.Ndugai.Nchimbi.Makamba.Nape na wengine wengi gone with the wind
Leo CCM Tanganyika ni Kitila Katambi.Mwigulu .Ndejembi Mwana FA na kama hao wasio na uchungu na ufahamu sahihi wa nchi yetu
Angalieni sasa rais na makamu mteule (inasemekana ni mpemba ho jina kakodi) pia mawaziri waandamizi na wachanga pia sekta nyeti huyu mama kajaza watu wa kwao kwa kiwango kisocho wahi kutokea tangu muungano.
Tokeni unganeni muikoe Tanganyika yetu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…