Hayo yametokea mdaa si mrefu kati ya mfanyabiashara Thomas Munisi na Jastin Nyaria kwenye bar ya Tanzanite Kimandolu na wananchi wameondoka kwenye bar hiyo nakusema sisi tunamtambua Godbless Lema
Majambazi yanapigania uongozi. Halaf huyu jamaa Simon wa tanzanite asipoangalia ataharibu biashara yake.unaruhusu vipi majambazi yapigane kwenye biashara yako.
Hawa maccm wanajidhalilisha tu kwasababu wanajua kabisa Arusha mjini inyeshe mvua au jua lazima CHADEMA ishinde tu. Kama CHADEMA ilishinda 2010 bila kujiandaa hawafikirii sasa wamejiandaa na kuandikisha Makamanda wa kutosha.
Nyari yupi anataka kuongoza wajane alioua waume zao kwa kuwanyanganya tanzanite. Kampeni manager wake atakuwa jambazi Banjoo. Baaada ya kushinda ujambazi utahalalishwa rasmi
Wapigane tuu lakini arusha ni ya CHADEMA pekee,nawashauri wangeendelea na uwizi wao hao wanaopigania ubunge wanadhani ubunge ni tenga la machungwa,kujaza madanzi,Shame