Cheap politics zinazofanywa na ccm kwa kudanganya raiya kuwa CHADEMA imejitoa katika uchaguzi kata ya Themi ni ishara tosha kuwa ccm wamepoteza dira na muelekeo hadi kufikia hatua ya kutunga habari ambazo haziwezi kuinusuru ccm dhidi ya ushindi mnono wa CHADEMA.
Yote haya ni baada ya kuona CHADEMA tumefanikiwa kuteka siasa za Arusha na kupelekea ccm kuhaha na kuanza kupiga wapiga wapiga kura, kutunga habari za uongo za kujifariji, vitisho vya kumwagiana tindikali n.k.
Mimi kama balozi wa CHADEMA tawi la Fire natoa rai kwa ccm kuwa hapa Themi CHADEMA tunaenda kumshinda shetani tarehe 16-June-2013 kwenye box la kura kwa kishindo na Kinabo Melance(Kaburu) ni diwani wetu rasmi kuanzia sasa.
Tulianza na Mungu, Tunamaliza na Mungu.
(Huu ni ujumbe kutoka kwa kamanda mmoja kutoka themi)
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums