CCM Arusha waeneza uwongo kuwa mgombea wa CHADEMA amejitoa

gagonza

JF-Expert Member
Oct 18, 2009
309
98
Kuna habari zimesambazwa kwenye fb zinasema mgombea wa CHADEMA kata Themi Arusha amejitoa napenda kusema ni uwongo mtupu mgombea hajajitoa nipo naye tangu asubuhi. Peoples power.
 
teheteheteheheeeeeeeeh hadi raha haya makampeni ya bongo
hasa kama huna side ni raha tupu mana yanafurahisha sana
duuuuuuu.
 
style hizo anaziweza rage,kwani yupo huko?Igunga aliwatangazia raia kuwa mgombea wa cdm kajitoa,ama kweli magamba mwaka huu wenu wengine mmesusa hadi nyumba zetu zaidi ya miezi 3 sasa dah
 
Mwigulu SAVIMBI asikwepe kupeleka ripoti ya hali mbaya ya ccm Arusha ktk Kikao cha Harusi yaani Kamati kuu
 
Cheap politics zinazofanywa na ccm kwa kudanganya raiya kuwa CHADEMA imejitoa katika uchaguzi kata ya Themi ni ishara tosha kuwa ccm wamepoteza dira na muelekeo hadi kufikia hatua ya kutunga habari ambazo haziwezi kuinusuru ccm dhidi ya ushindi mnono wa CHADEMA.
Yote haya ni baada ya kuona CHADEMA tumefanikiwa kuteka siasa za Arusha na kupelekea ccm kuhaha na kuanza kupiga wapiga wapiga kura, kutunga habari za uongo za kujifariji, vitisho vya kumwagiana tindikali n.k.
Mimi kama balozi wa CHADEMA tawi la Fire natoa rai kwa ccm kuwa hapa Themi CHADEMA tunaenda kumshinda shetani tarehe 16-June-2013 kwenye box la kura kwa kishindo na Kinabo Melance(Kaburu) ni diwani wetu rasmi kuanzia sasa.
Tulianza na Mungu, Tunamaliza na Mungu.

(Huu ni ujumbe kutoka kwa kamanda mmoja kutoka themi)

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Vumbapu wewe. Unatuletea mambo ya fb humu. Kanyweshwe viroba huko.

Kinachokufanya umtukane mwenzio ni nini? Kama habari nzito kama hii imeandikwa kwenye mtandao wa fb, kuna ubaya gani yeye kuileta hapa jf na kueleza ukweli? Acha hizo bwashee
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom