CCM Arusha Leo wahitimisha ziara ya kutembelea kata zote za Arusha Mjini kukagua ilani ya uchaguzi ambapo pia wamefanya mikutano ya hadhara
Mikutano hiyo iliyoongozwa na MWENYEKITI Wa CCM wilaya DK SOILELI imekuwa namwitikio mkubwa haswa baada ya kupokea wanachama wengi Wa CHADEMA Kama Kata ya UNGA LTD MWENYEKITI na katibu Wa CHADEMA na kurudi CCM
Leo katika kata ya Ngarenaro mwenyekiti Wa vijana Wa CCM wilaya ya Arusha Mjini amemwinya LEMA kuacha kuwaongopea wajumbe Wa bunge LA katiba kuwa msimamo Wa wana Arusha ni serikali mbili na siyo tatu tatu ni za kwake yeye siyo za wanaarusha
"Yeyote atakaye dhubutu kuichezea amani yetu watanzania Uvccm tutamshughulikia kikamilifu"
Alimalizia kwa kuwaomba wana Arusha kuikataa CHADEMA maana wameharibu Mjini na kuwafanya watalii wasije Arusha uchumi kuporomoka kisa "maandamano na Mabomu ya CHADEMA"
Mkataeni lema na chadema yake alimalizia mwenyekit huyo
kula like yangu mkuu,haya majitu maongo sana
...
.....Arusha ya zizima Hotuba ya G LEMA yatikisa jiji la Arusha !!!
Hapa chini UKAWA inachanja mbuga huko IRINGA...
![]()
![]()
![]()
CCM Arusha Leo wahitimisha ziara ya kutembelea kata zote za Arusha Mjini kukagua ilani ya uchaguzi ambapo pia wamefanya mikutano ya hadhara
Mikutano hiyo iliyoongozwa na MWENYEKITI Wa CCM wilaya DK SOILELI imekuwa namwitikio mkubwa haswa baada ya kupokea wanachama wengi Wa CHADEMA Kama Kata ya UNGA LTD MWENYEKITI na katibu Wa CHADEMA na kurudi CCM
Leo katika kata ya Ngarenaro mwenyekiti Wa vijana Wa CCM wilaya ya Arusha Mjini amemwinya LEMA kuacha kuwaongopea wajumbe Wa bunge LA katiba kuwa msimamo Wa wana Arusha ni serikali mbili na siyo tatu tatu ni za kwake yeye siyo za wanaarusha
Yeyote atakaye dhubutu kuichezea amani yetu watanzania Uvccm tutamshughulikia kikamilifu
Alimalizia kwa kuwaomba wana Arusha kuikataa CHADEMA maana wameharibu Mjini na kuwafanya watalii wasije Arusha uchumi kuporomoka kisa maandamano na mabomu ya CHADEMA
Mkataeni lema na chadema yake alimalizia mwenyekit huyo
Wana ARUSHA tumeshaikataa CHADEMA na mambo yake yote! Huyu LEMA tunasubiria uchaguzi tu ili tumrudishe kwao Machame.
Ya kwako na ya Mumeoarusha tunataka serikali mbili tu
Wana ARUSHA tumeshaikataa CHADEMA na mambo yake yote! Huyu LEMA tunasubiria uchaguzi tu ili tumrudishe kwao Machame.
msimamo wetu wana arusha ni serikali mbili tu
Ya kwako na ya Mumeo
Lema atawanyima usingizi kila siku na bado, ypo wap Batilda?
Wana ARUSHA tumeshaikataa CHADEMA na mambo yake yote! Huyu LEMA tunasubiria uchaguzi tu ili tumrudishe kwao Machame.
Msimamo wangu mwana arusha ni serikali 3 samahan lkn