Ukombo Mongi
Member
- May 21, 2013
- 72
- 14
Habari zilizonifikia ni kwamba, wapiga kura wote waliopokea chochote kutoka CCM Arusha na kugoma kuipigia CCM kura, watakumbwa na chungu hicho..ole wako kama ulipokea chochote, chungu kitakula familia yako..hatari..:love:
teh teh teh
sangoma technology
Mzee tupa tupa salama?Uchawi hauna nafasi ndani ya CCM. Acha kuchafua chama chetu kijana!
Ukiwa na stress njoo jf utapona, hahahaaaaLazima litakuwa ni wazo la Mwigulu hilo. Jamaa anapenda ushirikina kuliko Mwarabu anavyopenda "liberali"!
Salama Mkuu Masanilo. Unaendeleaje mwenzangu huko uliko? Nionavyo mimi,nchi inaelekea pazuri kisiasa.Mzee tupa tupa salama?
Habari zilizonifikia ni kwamba, wapiga kura wote waliopokea chochote kutoka CCM Arusha na kugoma kuipigia CCM kura, watakumbwa na chungu hicho..ole wako kama ulipokea chochote, chungu kitakula familia yako..hatari..:love:
Uchawi hauna nafasi ndani ya CCM. Acha kuchafua chama chetu kijana!

Khaaaa!!!! Kumbe CCM ni chama cha kichawichawi nilikuwa sijajua
Vitisho vya mganga wa kienyeji.... Wanatishia wananchi nyau..Mchawi wao maji marefu arumeru maji yalimshinda!Habari zilizonifikia ni kwamba, wapiga kura wote waliopokea chochote kutoka CCM Arusha na kugoma kuipigia CCM kura, watakumbwa na chungu hicho..ole wako kama ulipokea chochote, chungu kitakula familia yako..hatari..:love: