GE2025 CCM Arusha kuchinja ng'ombe zaidi ya 100

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,174
Reaction score
17,635
Zoezi la uchukuaji wa Fomu wa nafasi ya Ubunge jimbo la Arusha Mjini kwa Mgombea wa Nafasi hiyo Mhe. Paul Makonda litaambatana na burudani kutoka katika vikundi mbali mbali vya Muziki lakini pia Ng'ombe zaidi ya 100 kwa ajili ya nyama choma kama anavyobainisha Katibu Mwenezi wa CCm Wilaya ya Arusha Mjini Anthony Maswi

Your browser is not able to display this video.
 
Nyie kuleni tu manyama ya makafara halafu baadaye ndio mtajua matokeo yake.
 
Inatafutwa habari ya kuuza mitandaoni kupunguza joto. Akili ndogo kupewa nafasi kubwa ni majanga.
 
Kafara
 
Hi
Hizo fedha atarejeshaje
Au ubunge ni biashara siku hizi
 
Msiuze uhuru wenu kwa ajili ya uchu wa nyama. Grow up people......msiuze uhuru wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…