Watanzania wenzangu wapenda manadiliko tufanye mambo mengine ya maendeleo binafsi, 25 October tukakamilishe tulichoamua
Kuna watu wameajiriwa humu karibuni na wako 24hrs humu kuanzisha nyuzi zisizokuwa na kichwa wala shingo.
Hawa kina Chin and co Humu ni ofisini kwao