Excellecy and brilliant argument! Thank you very much! Kampeni lengo lake ni moja tu: kueleza utawafanyia nini wapiga kura. Sio wakati wa kukagua matatizo ya wananchi na wala sio wakati wa kufanya usanii kuonyesha kuwa wewe unajua kuvumilia shida kumbe ni uongoMagufuli ana tumia gari ili azifahamu shida za wananchi ambazo alikuwa hazifahamu kwa kuwa alikuwa hana haja nao.
Lowassa ana tumia helkopta ili imuwaishe kwenda kupanga mipango ya kutatua matatizo ya wananchi kwa kuwa ana zifahamu kwa kuwa ni mtoto wa masikini.
We know who is weak and strong. You don't need PhD to comprehend that.Hoja za wakereketwa wa CCM ni dhaifu mno
Excellecy and brilliant argument! Thank you very much! Kampeni lengo lake ni moja tu: kueleza utawafanyia nini wapiga kura. Sio wakati wa kukagua matatizo ya wananchi na wala sio wakati wa kufanya usanii kuonyesha kuwa wewe unajua kuvumilia shida kumbe ni uongo
Umelenga penyewe Kiongozi.umesahau juzi kati alikuwa anaigiza kwa kula kwa mama ntilie na kupanda daladala ili ajue shida za wananchi wakati miaka yote hiyo alikuwa kiyoyozi
umasikin c sifa ndg,kutumia chopa kuna rahisisha kufika na pia kwan mikutano c inaandaliwa eneo ambapo ndo hufikia au.?!
umesahau juzi kati alikuwa anaigiza kwa kula kwa mama ntilie na kupanda daladala ili ajue shida za wananchi wakati miaka yote hiyo alikuwa kiyoyozi