Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,990
- 3,821
Hiki mnachokifanya na mnachowafanyia watanzania wenye akili timamu kitawarudia. Karma is real.
Kama mnadhani watanzania ni wajinga na waoga wote,jibu ni hapana. Ni kweli mtaji wenu ni baadhi ya watanzania kuwa na sifa hizo lakini si wote. Ujinga na uzandiki mnaofanya nyie siyo wa kwanza kuufanya,walishafanya wajinga wengi na kwasasa wapo makaburini.
Si muda wa kuwataja lakini naamini anguko lenu haliko mbali kwani mbingu zimekataa utawala wenu dharimu na wa Mateso kwa watanzania.
Tazama watanzania wanaishi kama vikatuni mbele ya walioridhika. Mnawacheka, mmeigawana nchi,mmeuza kila chenye thamani kwa vipande thelethini. Watanzania wanateseka kila mahali.
Wanapojitokeza watu wa kuwakomboa kifikira mmekuwa wakandamizaji kwa kuwakamata na kuwafungulia kesi mbaya za jinai. Je ni Mungu yupi anafurahia watu wake wateseke hivi? Ni mungu yupi hapendi watu wake wakombolewe? Jibu ni hayupo.
Leo nyinyi ni wajanja kwasababu mnatumia bunduki na mabomu ya machozi. Mkiwa kwenye corridor mnacheka na kunywa mvinyo. Rahasha anguko lenu haliko mbali inaweza isiwe saa 5 asubuhi na ikawa saa 8 alasiri. Anguko lenu haliko mbali.
Ni lipi kosa Lisuu Hadi mkamtese mahabusu kiasi kile? Nyinyi mnafurahi binadamu mwenzenu kuteseka kiasi kile kisa tu anapigania ukombozi wa watanzania?
Hiki mnachokifanya kinatofauti Gani na kile alichofanyiwa Nyerere na wakoloni? Hakika nyinyi ni wakoloni weusi. Naamini kama ilivyo kwa Nyerere alivyoikomboa Tanzania kutoka kwa wakoloni ndivyo hata lissu na wengine wazalendo watafanya. Wapo wengi.
Hii michezo ya kuhonga na kufadhili watu wachafue na kupinga ukombozi hata mkoloni alifanya lakini mungu alivyojibu kwa wakati ilikuwa na ilitimia. CCM anguko lenu halipo mbali.
Nyinyi mnaocheka Leo ndiyo mtalia kesho kwani aliye Juu mngoje chini. Sisi watanzania wazalendo tunawangoja chini kwani tunaamini kwamba aliyewapandisha ndiye atakaye washusha.
Endeleeni kumuhadaa mama yenu na kama mnavyosema mnammudu na mnapigania matumbo yenu. Haya sawa. Anguko lenu haliko mbali hata msipo sadiki sasa mbingu zimekataa na zimemkataa mama yenu.
Hamna tofauti na mkoloni,
Mbona hamtaki mabadiliko ya kanuni na sheria za uchaguzi? Mbona hamtaki uchaguzi kupingwa mahakamani? Mbona hamtaki katiba mpya? Oooh! Hamtaki kwasababu ndiyo silaha yenu ya kubakia madarakani na kwamba hamtaki watanzania wapate hivyo vyote kwani itakuwa ni sawa na kula tunda la mti wa mema.
Lakini kitu pekee Cha uhakika ninachojua nyinyi ni marehemu watarajiwa na siku mtakufa mtaacha kila kitu mlichowaibia watanzania.
" Nitayainua macho yangu niitazame milima, msaada wangu utatoka wapi? Msaada wangu utatoka kwa Mungu"
Ee mungu wangu endelea kumlinda na kumpa ujasiri Moses/Musa ambaye atawavusha watanzania kutoka katika utawala wa firauni kwenda nchi ya ahadi. Mwaka huu ni mwaka wa ukombozi inshaallah!
Mungu ibariki Tanzania.