Ccm@50

Ccm@50

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,461
Reaction score
829,856
1443587042049.jpg 1443587056067.jpg 1443587072087.jpg View attachment 292901View attachment 292902na bado kuna watu wanafikiria kukirudisha madarakani
 
maamuzi ya busara yanahitajika sana mwaka huu kiroho safi
 
Duh!!...utani wako na maCCM unakaribia kuvuka mipaka mkuu!!!
 
Mbona Balaaaa?? Huko ndo ku Gofulika!!!!!!!
Basi jamani, kama Ikulu inamwaga radhi kiasi hiki naona taifa li mashakani


Limashakani tena sana mkuu unadhani kidogo kiongozi.

Ni hatari sana.
 


Acha tu mkuu.

Ni hatari sana kiongozi hasa kwa afya ya ubongo na akili kwa jumla juu ya watoto wetu wanaotazama picha hizi kiakili ni lazma waathirike kwa namna moja ama nyingine.

Hatari sana.
 
Back
Top Bottom