CCM 2015 mambo yatakuwa hivi

jambo hilo likitimia tz nitafurahi hadi nifanye sherehe na familia yangu.
 
Bila mabasi ya kuwasomba, khanga,Tshirts na kofia pamoja na bahasha ya elfu kumi,hakuna atakayehudhulia mikutano ya ccm!! CCM kwishney!!
 
Halafu unakuta msela aliye mbele hapo ni Chizi haelewi kitu yeyote
 
Ndoto za abunuasi hizo.
 
huyo hapo mbele atakuwa ni mwanachama, sio mshabiki......... wale washabiki watakuwa wameenda na MDUDNIKO mtaani kukusanya watu!
 
Yani nimecheka mpaka basi!! Ingekuwa bongo kina nape,zomba ritz na wenzake ungewaona na post zao CCM YAFUNIKA----- kama ile ya mafinga leo mpaka nilijikuta nahisi aibu badala yao,ila cha kushangaza nimeshamwona mwehu mmoja hapo pembeni keshawahi Jf eti ccm yaisambaratisha cdm mafinga!!duh! Yaani aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…