CCJ's Statement to the Diplomatic Corps

Mbio za sakafuni huishia ukingoni, ngoja mambo yawe hadharani. Kama watu wana data za kutosha wazitoe ili ukweli ujulikane, watu wapembue weneyewe mchele na chuya. Iliondoka KANU bwana!!?? hamkuona yalotokea Malawi?. Watu wanatakiwa kuelimishwa wakishaelewa watafany maamuzi yaliyo sahihi ambayo yataleta mabadiliko makubwa hapa nchini kwetu. Anyway nchi hii ili ibadilike kimaendeleo inahitaji kiongozi kichaa aliyevaa uso wa nyani, asiyemuonea aibu hata rafiki yake kipenzi. Uchumi tulionao sio jamani!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom