CCJ's Statement to the Diplomatic Corps | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCJ's Statement to the Diplomatic Corps

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Jun 11, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jun 11, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  STATEMENT TO THE DIPLOMATIC CORPS AND CIVIL ORGANIZATIONS CONCERNING THE POLITICIZATION OF THE PROCESS OF PERMANENT REGISTRATION OF CHAMA CHA JAMII.
  JUNE 11, 2010

  Since the re-introduction of multiparty democracy in Tanzania in 1992 the government of Tanzania which is under Chama Cha Mapinduzi has worked to frustrate the process of peaceful democratization of political institutions in Tanzania. Among them are the Office of the Registrar of Political Parties and National Election Commission. As a result of this the ruling party has only given tokens of independence to these institutions while at the same time it has continued to deny true freedom to function without interference from state organs or political operatives.

  As soon as the news of the formation of CCJ was leaked to the media earlier this year as many of you now know the ruling party and some government officials have spoken with one voice to deny transitional and permanent registration to CCJ. This was done with one goal in mind which is to deny CCJ any possible participation in the upcoming elections later this year.


  Knowing fully how the political mechanisms in Tanzania work we have tried to demand fairness and transparency when it came to the registration of our party. We didn’t expect anything more or less than what has been required in past registrations of political parties. Unfortunately, from the beginning of this process, the Office of the Registrar of Political Party Mr. John Tendwa under the Minister of State (Parliament and Political Affairs) Hon. Philip Marmo has continually and methodically tried to prevent the formation and eventual permanent registration to our political party. They have been joined several times in this sentiment by a number of high ranking political leaders in their party.


  The highlight of this frustration came last week at what should have been a clear and open process of validation of our members. Unfortunately as expected, the Registrar purposefully applied very different standards which could be seen as unconstitutional when rejecting some of our members. The law put very simple standards (Political Parties Act of 1992 S 10) for permanent registration of political parties none of which seem to have been of interest to the Registrar except the standards that he invented or those created by the Minister – a political appointee of the President and staunch cadre of the ruling party.


  For this reason, we ask you our democratic partners to urge and demand fairness and impartiality as far as the registration of our party and others in the future. Even more, we ask to join our voices in your own ways to demand the creation of true independent government entities that deal with the registration of political parties and supervise elections in Tanzania. As most of you have been our partners in development through the years we believe history is calling you now with a loud and an ambiguous voice to be our partners in democracy, justice, fairness, and equality. You should not support in anyway a government that is devoid of those sentimental but very necessary values in any democratic society.


  To a better, freer, prosperous and democratic Tanzania.  Given.
  Richard Kiyabo

  Chairman, Chama Cha Jamii (CCJ)
   
 2. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Go to court, do not waste your time with these guys, they have their interest to servetherefore they cannot and will never shout at CCM. They had no reason in the first place to pump all that money to facilitate an election which is from the start not fairly conducted under these laws and with the supervision of this electoral commission
   
 3. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2010
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,521
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  It is a good move
   
 4. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Mwanakijiji,

  Mabalozi hawa ndio wanaowakumbatia hawa wanaotuhujumu, kulia kwao ni kupigia Mbuzi Gitaa!
   
 5. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  MMJK,

  Hii ni kupoteza muda, kwa kweli CCJ mme-disappoint wote waliobuild hope with you.

  Who is to blame on the verification issue! Time is not on your side. You are defeated now!:mad:
   
 6. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #6
  Jun 11, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  duh.. I wish I could tell you whats up to give you hope.. but for now I can't but keep hope alive... you have to be in warfare mode... have you ever read "The Art of War"? Things are not what they seem.... Don't quit on me now...

  Next week.. CCJ has some appointments with some "influential" ambassadors to Tanzania..

  You have to learn to push when the government say "no".. otherwise.. they will push you out completely..
   
 7. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Hakuna kutafuta mchawi sasa hivi, kwani hii haitasaidia, inabidi watuambie what is their plan B, that should be the strategy. Mpiganaji akipoteza pambano huwa anarudi nyuma kujitayarisha vizuri kwa pambano lijalo. CCJ fanyeni hivyo
   
 8. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #8
  Jun 11, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  tatizo ni kuwa mnafikiri tumepoteza pambano...!!!
   
 9. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #9
  Jun 11, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  No No No, mtazamo wangu ni kuwa msajili hawezi kutoa usajili atafanya hivyo pale tu atakapolazimishwana njia pekee ya kumlazimisha ni mahakama. Sasa nadhani unajua jinsi mahakama zetu zilivyo na spidi ya konokono, sasa hivi ni June uchaguzi ni Oktoba, hivyo basi matayarisho na kampeni lazima zianze mapema. I can assure you hakuna mahakama tanzania inayoweza kusikiliza kesi na kumaliza kabla ya kuanza kwa mchakato wa uchaguzi.

  Katika misingi hiyo alternative hiyo tunaiweka pembeni sasa nini next Okay CCJ wanaona kuwa mabalozi wanaweza kuweka pressure lakini mimi naona hawawezi, kama kukemea mbona kuna vingi vya kukemema lakini hawafanyi hivyo sembuse hiki cha usajili wa CCJ, democratic governance hawaipigii kelele hata kidogo, sioni wao kufanya hivyo leo.

  Sasa basi lazima utafutwe mbadala, kupoteza pambano sio kushindwa vita na kupoteza pambano sio vibaya vibaya ni kushindwa vita.
   
 10. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #10
  Jun 11, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Ni kupoteza muda tu..Eti mabalozi hebu niambieni waliwahi kutetea nini hapa nchini zaidi ya kusifiasifia ili waendelee kututawala vizuri?kupeleka huko ishi yenu ni sawa na kupeleka kesi ya nyani kwa ngedere..Watawapamba kwa maneno matamu lakini wakishapewa jibu na Mkulu wa nchi watamuamini na kutulia tuli kama maji ya mtungini.
   
 11. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #11
  Jun 11, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  mawazomatatu, mahakama haiwezi kuingilia maamuzi ya msajili. Sheria iko wazi uamuzi wa msajili ni final.
  Hivi hamjiulizi kwanini Msajili alisema hana "bajeti" ya kufanya uhakiki, na Marmo siku moja kabla akarudia hivyo hivyo na kesho yake wakakubali kufanya uhakiki? Hakuna chombo cha habari kilichomuuliza Tendwa "imekuwaje tena" au "fedha za uhakiki" umezitoa wapi? Mabalozi wako interested kuona CCJ inatendewa haki kwani toka mwanzo wameona haijatendewa haki na suala la kadi ni dogo tu ambalo wao wamelitumia. Kama kila mtu angekuwa na kadi msajili asingezikubali vile vile kwa sababu majina yanaweza kuwa yamekosewa, jina la mtaa halikuwa sahihi, au kadi haina picha n.k!

  Msajili hakuwa na hana interest ya kutenda haki. Tumempa nafasi ya kuwa impartial na ameshindwa.

  Sasa basi lazima utafutwe mbadala, kupoteza pambano sio kushindwa vita na kupoteza pambano sio vibaya vibaya ni kushindwa vita.[/QUOTE]
   
 12. E

  Edo JF-Expert Member

  #12
  Jun 11, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Goodluck !
   
 13. MawazoMatatu

  MawazoMatatu JF-Expert Member

  #13
  Jun 11, 2010
  Joined: Sep 6, 2008
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Duh Mkuu nafkili ulidhamiria kumtaja Ngambo Ngali..!
   
 14. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #14
  Jun 11, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Again with the "wait and see". We keep waiting but we never see.
   
 15. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #15
  Jun 11, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  And then after presumably the "influential' ambassadors are able to help CCJ with their demands what next? The diplomatic corps are going to elect CCJ to power? When will opposition parties learn that the only way to change is through the people?

  One should understand that diplomats work for the interest of their nations and not for any local unit of a country they are posted to. How can CCJ be of any benefit to the home governments of these diplomats? Because diplomats especially of developed countries do nobody any favors. CCJ must give something to get something in return.
   
 16. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #16
  Jun 11, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Mwanafalsafa.... CCM wamekuwa wakiwashinda wapinzani kwa mkakati tu hakuna wizi wala nini; safari hii na sisi tutawafunga kwa mkakati hivi hivi... goli ambalo tutawafunga litakuwa ni goli la kihistoria....
   
 17. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #17
  Jun 11, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Nalitambua hilo mkuu. Kuwa uchaguzi wowote ni mikakati. CCM has being playing smart which other take is playing unfair. I get that. What I don't get is what the strategy of going to the diplomatics corp will help. The only way I see this strategy working is if CCJ promises the diplomats something in return if they get the chance to form the government so tuta rudi pale pale. Unless you can give the specifics of how they hope the diplomatic corps to help(I presume hauwezi kusema kwa sasa probably) i really can not make any sense of this strategy. But like you say mkuu I'll wait to see.
   
 18. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #18
  Jun 11, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Mwanafalsafa.. DO NOT try to to look at things in isolation! Ukiangalia tu kuwa ni kwenda kwa mabalozi na hilo peke yake of course haiwezi kuleta mantiki... Unganisha yote yaliyofanyika hadi hivi sasa kuhusu CCJ na uone ni ugumu gani CCM wanao katika kudhibiti ajenda ya CCJ.
   
 19. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #19
  Jun 11, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mnapoteza muda bure, mlisema mnakwenda mahakamani imefikia wapi.

  tatizo la Ccj hamtaki kuomba msaada, hizi mbinu mngewauliza kwanza CUF wao walishaenda hadi UN wakati ujumbe wao unarudi wakakuta mabalozi wa Skandinavia wako Zanzibar wanaipongeza serikali kwa kuendesha siasa safi na mabalozi wakaahidi kuongeza misaada kwa SMZ, Ccj mpo?
   
 20. P

  Paul S.S Verified User

  #20
  Jun 11, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Hatimaye mmetia team kwa mabalozi, nice move.

  Mwkjj acha kupotosha watu kwa makusudi ama kuto kujua kuhusu madudu yaliofanywa na viongozi wako wa CCJ, Watu wanakuuliza hoja nzito lakini unajibu majibu mepesi kwa hoja nzito au unauliza swali badala ya kujibu swali, na kukwepa kujibu hoja za msingi.

  Inaonekana unapinga sana swala la kadi tu,na hautaki kujibu ya kushindwa hata kuratibu watu wafike 200 tu hapa dar, idadi haikutimia,wengine hata vitambulisho vya kura hawakuwanavyo achilia mbali la kadi za chama. Hebu kwanza nijaribu kukuweka sawa kwa hili la kadi,maana limekaa kisheria zaidi kuliko porojo za siasa wewe na viongozi wako mnaotuletea.

  Kwa kuanza tujiulize ,Hivi "mwanachama" wa chama cha siasa ni nani?,nani anawajibu wakumfanya mtu kuwa "mwanachama"?,je katiba inasemaje kuhusu ili?,mwisho inakuwaje kadi inaingia katika uhakiki wa CCJ?. Mwanachama wa chama cha siasa ni mtu aliyetimiza masharti na sifa zote za uanachama kwa mujibu wa katiba ya chama husika. Ni chama cha siasa husika ndicho
   
Loading...