Huwenda CC Ya ccm ndiyo yenye watu wenye msimamo kuliko ata wabunge na Mawaziri kwani maamuzi na maazimio yao ndiyo hufuatwa.
Je unazani ni kwanini huwa hawapuuzwi kama wabunge na mawaziri.
CC imesema selikali mbili
CC Imesema ruksa mgombea binafsi
CC Iliniamua hatima ya baraza la mawaziri