CBG kafaulu division 2 ya 11; chuo anaweza somea kozi gani?

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,921
Reaction score
4,712
Habari wakuu,

Mdogo wangu wakike kafaulu advance kapata divion two ya11 he chuoni anaweza enda somea course gani
 
Pale SUA kuna Food Science, Nutrition, Agribusiness, Horticulture.

UDOM kuna kozi mpya mpya sikumbuki vizuri jina nahisi inaitwa Health Informatics sijui.

Mzumbe kuna mpya mpya inaitwa Industrial Management nini nini nimesahau.

Pharmacy iko vyuo vingi ila ina ushindani. Anyway nimejibu kiholera ngoja waje
 
Habar wakuu mdogo wangu wakike kafaulu advance kapata divion two ya11 he chuoni anaweza enda somea course gani
Muulize kwnz yy anatak kusoma nn, Alaf ndy ionekane kama hicho anachotak kusoma kinawezekan au hakiwezekani.
 
Pale SUA kuna Food Science, Nutrition, Agribusiness, Horticulture.

UDOM kuna kozi mpya mpya sikumbuki vizuri jina nahisi inaitwa Health Informatics sijui.

Mzumbe kuna mpya mpya inaitwa Industrial Management nini nini nimesahau.
Pharmacy iko vyuo vingi ila ina ushindani. Anyway nimejibu kiholera ngoja waje
Bila shaka umempa muongozo
 
Pale SUA kuna Food Science, Nutrition, Agribusiness, Horticulture.

UDOM kuna kozi mpya mpya sikumbuki vizuri jina nahisi inaitwa Health Informatics sijui...
Kwa cbg pharmacy anakubaliwa kweli
 
Kwa cbg pharmacy anakubaliwa kweli
Nimekosea mkuu Pharmacy na Nursing hakubaliwi CBC. Naongeza Human Nutrition, Environmental Science, Food Science sijui niliitaja, Biotechnology ina competition kali sana kwa marks zake hachaguliwi.

Pia kama anataka aongeze kozi ambazo arts wanachukua kama Rural Development. Kama ana msingi wa Mathematics, Commerce na Accounts akiomba Accounting ataiweza.
 
Pale SUA kuna Food Science, Nutrition, Agribusiness, Horticulture.

UDOM kuna kozi mpya mpya sikumbuki vizuri jina nahisi inaitwa Health Informatics sijui.

Mzumbe kuna mpya mpya inaitwa Industrial Management nini nini nimesahau.
Pharmacy iko vyuo vingi ila ina ushindani. Anyway nimejibu kiholera ngoja waje
Pharmacy na CBG wapi na wapi mzee?..hapa umechanganya kidogo

Pharmacy anasoma mtu wa PCB tu..na pia intake yake ni ndogo sana..hawazidi hata watu 350 kwa mwaka kwa vyuo vyote(4),,MUHAS,CUHAS,ST.JOHN,na KAMPALA UNIVERSITY.
 
Pharmacy na CBG wapi na wapi mzee?..hapa umechanganya kidogo

Pharmacy anasoma mtu wa PCB tu..na pia intake yake ni ndogo sana..hawazidi hata watu 350 kwa mwaka.

Huyo atasoma education
 
Biotechnology and Labolatory science (BLS), Agronomy, Food science, Aquaculture, Animal science, Veterinary medicine, Forestry, Wildlife management.....Hizi zote anazipata SUA
 
Pale SUA kuna Food Science, Nutrition, Agribusiness, Horticulture.

UDOM kuna kozi mpya mpya sikumbuki vizuri jina nahisi inaitwa Health Informatics sijui.

Mzumbe kuna mpya mpya inaitwa Industrial Management nini nini nimesahau.

Pharmacy iko vyuo vingi ila ina ushindani. Anyway nimejibu kiholera ngoja waje
Huwezi soma pharmacy tanzania hii kama hujasoma physics.
 
Habari wakuu,

Mdogo wangu wakike kafaulu advance kapata divion two ya11 he chuoni anaweza enda somea course gani
Apply veterinary medicine ya SUA.

Ikishindikana na kama ulisoma Physics Olevo nenda pale ardhi kasome moja kati ya hizi..

1. Land management.

2. Building economics.

3. Architecture (kama una moyo mgumu kasome hii, pia inapatikana chuo cha mbeya).

NB: Usijiloge ukasoma EDUCATION kwenye hii Tanzania ya viwanda, utajuta!
 
Nimekosea mkuu Pharmacy na Nursing hakubaliwi CBC. Naongeza Human Nutrition, Environmental Science, Food Science sijui niliitaja, Biotechnology ina competition kali sana kwa marks zake hachaguliwi.

Pia kama anataka aongeze kozi ambazo arts wanachukua kama Rural Development. Kama ana msingi wa Mathematics, Commerce na Accounts akiomba Accounting ataiweza.
Aende Biomedical engineering hatajuta.
 
Back
Top Bottom