heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,046
- 13,392
Natamani sana kufanya hii kitu kwa adventures tu ata nikifa umo sio mbaya, embu nielekezeni sehemu gani yanye mapango ambayo watu huingia umo na kutokea sehem ingine
Yawe yenye njia nyembamba kiasi kwamba ni mwendo wa kutembea na tumbo tu, yawe yanatisha haswa
Nataka kuiface hofu yangu uso kwa uso, mwanzo nilikuwa naogopa damu ya mtu nikiiona nahisi kama moyo umeingia miss
Ntakosa amani hata pumzi inakua kama ina miss ila nashukuru sasa siiogopi
Sasa nataja kufanya cave climbing ya kibabe, nimefuatilia video nyingi sana naona wengine hunasa na kufia umo, wengine utoboa, sasa nami nataka nifanye nikitoka umo nafikiri ntakuwa nimeiface hofu yangu kwa asilimia kadhaa