caution!!!usile zaidi ya matano

hayo si unakamua juisi, inakua murua sana
 
Kuna juice yake anatengeneza Azam nishakua addicted nayo haipiti siku bila kuinywa.
bidhaa za azam hasa juice nilikuwa mpenzi but zilinivunja moyo nilikutana na zingine zimecha kabla hata mda wa kutumika kuisha
 
Dah! Umenikumbusha boarding school Mkuu! Tumeyala sana na nimatumu kinoma
 
yanasaidia kufunga choo kama unakimbiza mwenye
 
zile za BAHARESA huwa anatumia haya au anatuyayusha tu?
 
Dah! Umenikumbusha boarding school Mkuu! Tumeyala sana na nimatumu kinoma

Hio kitu umenikumbusha shighatini sekondari ....sijui hata yalitoka wapi hayo madude mwenye historia yake plz
 
hahhahahahhaha unanikumbusha mbeyaaaaaa enzi za kishule shule chakula chetu ndo hicho
 
Hio kitu umenikumbusha shighatini sekondari ....sijui hata yalitoka wapi hayo madude mwenye historia yake plz
Haha! Nimesoma Shighatin pia Mkuu!! Miaka ya nyuma kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…