Cause list: Kesi ya Lissu kutajwa July 30, 2020

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
1,393
3,234
Cause list report kutoka mahakama ya Hakimu mkazi ya Dar es salaam at Kisutu, inaonesha kesi ya Jamhuri dhidi ya Tundu Antiphas Lissu itatajwa tena siku ya Alhamis tarehe 30 July, 2020.

Cause list report inaonesha kesi namba 123 ya 2017 inayomkabili Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu itatajwa mbele ya Hakimu Mkazi Msomi, Mheshimiwa sana Enock Matembele Kassian, SRM siku ya Alhamis kama inavyoonekana hapa chini.

IMG-20200727-WA0032.jpeg
 
Walishimshindwa kwenye kesi,wakamshindwa kwenye mauti nn tena si muone aibu muache tu.
Shida Sana kuwa uncivilized though seen educated
 
Haisumbui akili, kwanza na muhimu zaidi hiyo kesi ina dhamana, na hizo mbwembwe za kwenda mahakamani tu, naamini wabunge wote wa CDM wameshazizoea sababu mliwazoesha wenyewe.
Thus tumekuwa tukiwaonya polisi mnawajengea watu usugu wa kuzoea kukamatwa Sasa mkishawakata what's next,mtawapeleka mahakamani kule wanashinda hii ni kushusha heshima ya polisi.
Kumtishia mwanasiasa kukamatwa kwa Jambo la haki ni sawa na kumpiga nyani kwa ndizi
 
Back
Top Bottom