Catholic university of allied science(BUGANDO)

Catholic university of allied science(BUGANDO)

kirchoffs

Member
Joined
Sep 12, 2016
Posts
18
Reaction score
6
Wapendwa;

Nawasalimu nyote ::
Lengo la kuanzisha Uzi huu ni "Kutaka kufahamiana na kupeana taarifa mbali mbali kwa wanafunz waliochaguliwa chuo kikuu cha bugando 2016/2017

Nimeona ni jambo jema tukaanza urafiki mapema kabla hatujafika rasm chuon tr1&2 ili kuweza kuleta ukaribu wa kuzoeana ; kushirikiana , kuhudumiana ; na kusaidiana katika majukum tunayotazamia kuyakabili!!

SASA
kuna kundi moja limeanzishwa kwa wale wa
@ medical doctor
@ bachelor of medical lab science
@ Nursing
Hili ni kwa wale wa bugando tu

Kwahiyo
Kama ungependa kufahamian na wenzio andika namba yako ya whatsapp nami nitakuunganisha moja kwa moja


Naamin kuwa kama tangazo hili halikuhusu huto comment chochote kibaya

Mungu akubariki !!!!!

NAWASILISHA
 
Back
Top Bottom