Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,850
- 2,444
Hahahaaa mnamind au sio?Vema. Endelea kugonga mtori.
Tunamaindi? Tukiwa, mimi na nani?Hahahaaa mnamind au sio?
Yaishe mkuu maana ww ni mkuuTunamaindi? Tukiwa, mimi na nani?
Vema. Tatizo, yawezekana, ulivyokomenti mara ya kwanza kuna kitu nilihisi ndivyo-sivyo.Yaishe mkuu maana ww ni mkuu
Tumuuluze maana asije kuchanganya madawaView attachment 822141View attachment 822143
Hawa ni wakatoliki gani, mbona mavazi yamefanana na ya white supremacist?
Yap mkuu..Na vile injiili ya jana ilikuwa juu ya Yesu alivyofanya muujiza wa vile visamaki na mikate!!!
Very beautiful hakika kanapendeza kukaoa
Amina.Mungu wabarik watumish wako
Libarik kanisa lako takatifu
Catholic [emoji546][emoji120] [emoji120]
Pumbafuuuu, acha mawazo machafu hayo.Mtoto mzr
Mkuu hyo avatar yako hyo parish n ya wapAmina.
Hilo ni Kanisa la Kibeho -Rwanda, mahali alipotokea Mama Bikira Maria.Mkuu hyo avatar yako hyo parish n ya wap