Hizi avatar zetu hizi !! unakuta mtu kabisa ni mmama au mbibi lakini mwenyewe kaweka avatar ya mdada mzuri mbichi. Au ni libaya haf kajiwekea ya mtoto mzuri. Then mishkaji inayowaza ngono mda mwingi inashinda PM kuyafukuzia. Balaa nusura mkosi.
Hahahahaaa maskinii poleee unabahati mbaya. ..Mi huwa nawaambia wadada wa kibongo, biashara ya kutaka kuishi kitamthiliya hailipi. Mwingine unakuta ana miaka sijui 40 hana mume yupo yupo tu, matokeo yake anazeeshwa na vibabu kwa tamaa zake. Na hata akili zake zinawaza kizee zee tu.
[mention=93393🙅🙅🙅hakuna jipya chini ya jua, yote yalishatendeka na yanajirudia. Akiondoka kasie duniani humu ndani kuna atakayezaa binti mwenye hulka na haiba kama yangu. Hakuna jipya yote marudio. Kabla ya kasie kuzaliwa alishakuwepo mmama mwenye hulka na haiba kama ya kasie, dunia duara.
Hata miaka hiyoiliyoitwa zamani kulikuwa na mateja wa bangi na mirungi.
Ngosweeeee penzi kitovu cha uzembe kaingia kichwa kichwa kaangukia pua!!!
Kwanini mdanganye watu??? Au ndo kutaka kuvutia watongozaji humu JF!!! Mfano wewe hapo, umeweka avatar ya mtu maarufu muigizaji kumbe kiuhalisia ni young oldster wa miaka karibia nusu karne!! Ukute hata mvuto hauna na ushachuja.Hahahaaa jiwe likitupwa gizani ukisikia yeeuwiiii ujue kuna aliyempiga nalo. Pole kwa yaliyokusibu ya kudanganyika na avatar, mbona wengi humu huwa wanatoa tangazo kuwa msihadaike na avatar kumbe ulikuwa hujakutana nalo? Pole kwa kuhadaika hehehee
Kwanini mdanganye watu??? Au ndo kutaka kuvutia watongozaji humu JF!!! Mfano wewe hapo, umeweka avatar ya mtu maarufu muigizaji kumbe kiuhalisia ni young oldster wa miaka karibia nusu karne!! Ukute hata mvuto hauna na ushachuja.
Kwahiyo kuna uwezekano mkubwa wewe ni mshkaji unayezuga kama mbibi na avatar ya mdada mzuri??. labda ndo maana ulimuacha mbali yule mshakaji aliyekuchomekea kwenye kile kihadithi chako. Mi sio dot.com wala sio mhanga, wahanga washazungumza sana.Duuh pole kumbe ni mhanga kwelikweli, sasa wewe matatizo yako unataka mie ndo niyatatue? Kwani nilikutuma ufukunyue nyuma ya avatar za watu? Siku nyingine usirudie maana utakuta na wanaume wenzakoo nyuma ya avatar za warembo. Kumbe wewe wa dot com ndo maana unalia lia hapa, wale wenyewe waliovaa msuli ukubwani wanajua how to deal with issues na hata siku moja hutawaona wakilalama kama wako kwenye shughuli nyeti. By the way take it easy kudondoka ni sehemu ya kujifunza kutembea.
Usikariri, sijamaanisha nilikuwa nao kwenye mahusiano. Hivi kwanini mnaendekeza akili zinazowaza ngono 24/7 ????Hahahahaaa maskinii poleee unabahati mbaya. ..
Kwahiyo kuna uwezekano mkubwa wewe ni mshkaji unayezuga kama mbibi na avatar ya mdada mzuri??. labda ndo maana ulimuacha mbali yule mshakaji aliyekuchomekea kwenye kile kihadithi chako. Mi sio dot.com wala sio mhanga, wahanga washazungumza sana.
Dont forget, Kasie is another champ. She has been saying everything about her, search all over she said openly that she is old mama nearly grand ma on her way to menopause in two years time. She has never say that she is young, if you don't read her words and keep on looking at her avatar then you are lost.Kwanini mdanganye watu??? Au ndo kutaka kuvutia watongozaji humu JF!!! Mfano wewe hapo, umeweka avatar ya mtu maarufu muigizaji kumbe kiuhalisia ni young oldster wa miaka karibia nusu karne!! Ukute hata mvuto hauna na ushachuja.
Gene au genie?Unataka kujua Kasie wa nyuma ya avatar ni nani? There is a price to pay...... am a gene in a bottle u gat to rub me in a right way.....
You said you are young on the inside!!! hence I'll refer to you as a young oldster.Dont forget, Kasie is another champ. She has been saying everything about her, search all over she said openly that she is old mama nearly grand ma on her way to menopause in two years time. She has never say that she is young, if you don't read her words and keep on looking at her avatar then you are lost.
Poleeee
A genie is more ugly than a 40 plus year old grand ma. Kumbe hujanielewa was trying to tell you how old and ugly I am.Gene au genie?
Kwahy umedanganya kwamba we ni mbibi wa miaka 40+??? Na kuwakimbiza wakwere wanaowaza ngono mda mwingi!!! Kumbe there is something more!
You said you are young on the inside!!! hence I'll refer to you as a young oldster.
That polee shouldn't be for me, there are guys who deserve it. I gave a general opinion after understanding that there is a lot of kasinde samples.
Champ??? who did you compete with???
Labda kama wanataka kulelewa na viajuza kama weweA genie is more ugly than a 40 plus year old grand ma. Kumbe hujanielewa was trying to tell you how old and ugly I am.
Kumbe wee hawajui wakwere wanabanjua hata viajuza kama mie maana wanaendeshwa na bange.
That's nice young oldster.That's naked truth am old on the outer side but deep inside I feel young and that's why I behave like a young lady.
OK basi hizo polee wapelekee hao wahusika mie nimekuona wewe hao wengine sikuwasikia.
Mchukue tu mkuu, hata hivyo hatujafanya lolote zaidi ya maongezi ya wazi.Weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mwache KASINDE wangu