miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,802 Reaction score 49,109 Aug 18, 2014 #21 dudupori said: ngoja wenyewe wakuckie utajiju, kwanza vile vilitakiwa viwe ni take away mtu unaenda kunywea kwenu na mkeo. Click to expand... Kukaa baa usumbufu tu
dudupori said: ngoja wenyewe wakuckie utajiju, kwanza vile vilitakiwa viwe ni take away mtu unaenda kunywea kwenu na mkeo. Click to expand... Kukaa baa usumbufu tu
chongchung JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 14,744 Reaction score 46,091 Aug 18, 2014 #22 Kunyweni Damu ya Yesu achaneni na hiyo mikojo.
Tusker Bariiiidi JF-Expert Member Joined Jul 3, 2007 Posts 5,554 Reaction score 2,160 Aug 18, 2014 #23 Kabia haka sio kabaya. Ila Tusker Bariiiidi... nayo Mashallah.
Kijana leo JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 2,860 Reaction score 812 Aug 18, 2014 #24 ukienda kwenye harusi yenye biere za kumwaga, piga lite hazitakuzingua maana zile hata ka kreti, cha msingi ule ushibe vizuri, ila ukikuta za kuunga piga lager kitu kikubwa kama fire extinguisher. ila sio siri pombe tamu kila nikitaka kuacha
ukienda kwenye harusi yenye biere za kumwaga, piga lite hazitakuzingua maana zile hata ka kreti, cha msingi ule ushibe vizuri, ila ukikuta za kuunga piga lager kitu kikubwa kama fire extinguisher. ila sio siri pombe tamu kila nikitaka kuacha