the coolest one
Member
- Sep 16, 2017
- 17
- 1
Doc Doc Shebeleza
Cassper Nyovest
AKA ana swaga poa Cassper ana mistari mikali...
Unamjua au unazunga? Hao kwangu mi nawaona bado kwa KOumepotea njia bro
Jamaa namkubalitito mboweni hahah
swagg wote wanazo mzee haha
aka anajua na swaggs nyingi ila anachozidiwa na nyovest mwenzake ni fighter sana always anazd kusaka soko la nje ya Africa hence currently Casper mkal