Cashier

Cashier

Flores

Member
Joined
May 19, 2013
Posts
39
Reaction score
3
Jamani msaada interview ya cashier hua wanauliza maswali gani mana kesho ninainterview hiyo mwenzenu.wanaojua chiochote pls
 
Ujue sarafu ya mia tano ina sura ya nani.
 
Ujue petty cash and imprest system. Vilevile job description ni part ya maswali ktk interview.
 
kampun gan make maswal yanatofautiana baina ya kampun. mfano access unapewa hesabu za mafumbo ya kawaida ya kufikilia, wanaweza uliza elfu tano ina mnyama gan hyo ni kwa upande wa written. Bt oral ujue job discription na maswal mengine ni common
 
Back
Top Bottom