Cashier anahitajika, ofisi ipo Dar

Cashier anahitajika, ofisi ipo Dar

Cashier wanin' ? Counter bar.. Bet shop cashier ..bank teller... Specfy bas isiwe mbuz kwny gunia mtu ana apply mnamdirect akawe cashier dangulo flan hapa mjin <natania mkuu>
 
Msichana cashier anahitajika.

awe na skills ya computer., ajue kuongea kingereza na kiswahil vzuri..

kwa anayetaka tuwasiliane kwa simu no 0719714852/0653518855

cashier wa eneo gani, bar, hotel au kampuni gani mkuu. Tuambiane
 
cashier wa eneo gani, bar, hotel au kampuni gani mkuu. Tuambiane

Si ucheki na hizo namba ujue mpendwa??haya asante kwa waliotucheki..nadhani washapata maelekezo..asanteni kwa kushiriki.
 
Msichana cashier anahitajika.

awe na skills ya computer., ajue kuongea kingereza na kiswahil vzuri..

kwa anayetaka tuwasiliane kwa simu no 0719714852/0653518855
Mkuu naomba un pm mm nikikupm inagoma ....plzplz nashda binafsi
 
Back
Top Bottom