F fazam JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 1,868 Reaction score 1,291 Oct 31, 2016 #1 wakuu tcu walitoa chance ya watu waliokosa kuapply tena ....wakafunga system kwa ajili ya selection..then cas haipatikan....cjui na nyie mnalipata tatizo hilo
wakuu tcu walitoa chance ya watu waliokosa kuapply tena ....wakafunga system kwa ajili ya selection..then cas haipatikan....cjui na nyie mnalipata tatizo hilo
dully santo JF-Expert Member Joined Apr 12, 2014 Posts 260 Reaction score 334 Oct 31, 2016 #2 Muda wa kuapply ushapita kwa ss ni mchakato wa kuchagua wanafunzi
Kirchhoff JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,940 Reaction score 8,889 Oct 31, 2016 #3 Pamoja na mkopo hakuna watu bado wanaapply tuu
M mankatesha Member Joined Oct 28, 2016 Posts 7 Reaction score 3 Oct 31, 2016 #4 Ivi kama we nu diploma holder then ni yatima inaamaana upat mkopo
C ctc database JF-Expert Member Joined Jul 6, 2016 Posts 201 Reaction score 148 Oct 31, 2016 #5 mankatesha said: Ivi kama we nu diploma holder then ni yatima inaamaana upat mkopo Click to expand... Diploma wengi hawajapewa mkopo
mankatesha said: Ivi kama we nu diploma holder then ni yatima inaamaana upat mkopo Click to expand... Diploma wengi hawajapewa mkopo
F fazam JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 1,868 Reaction score 1,291 Oct 31, 2016 Thread starter #6 dully santo said: Muda wa kuapply ushapita kwa ss ni mchakato wa kuchagua wanafunzi Click to expand... ok nimekupata mkuu...ilikuwepo status ya kuonyesha ni muda wa kuchagua...lkn ss hiv page inaload tu
dully santo said: Muda wa kuapply ushapita kwa ss ni mchakato wa kuchagua wanafunzi Click to expand... ok nimekupata mkuu...ilikuwepo status ya kuonyesha ni muda wa kuchagua...lkn ss hiv page inaload tu