Habari, jamani wapi nitapata cartridge hiyo ya namba 83A??, na bei yake ni ngapi??
Naona mmoja ana bei yake...sasa nahitaji kujua bei ya chini naweza pata kwa gharama ipi na sehemu gani...kwa jijini Dar??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.