Kanye2016
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,474
- 2,445
Interesting, ila international community naona kama ipo muted sana na huku sijui ni nini tatizo. Kwanza kichaa Musiba yule akiwasema nchi kama maraekani na Uingereza kama zinachochea vurugu na kuwatumia baadhi ya watu kufanya agenda zao then nilidhani watamjibu au kutoa statement kupinga hayo naona wameuchuna tu, Sasa sjui ni kweli au la, then mauaji yanayofanywa wao wakitulia tu bila kutoa matamko. Mh ngoja tuone labda baada ya tarehe 26 watatoa misimamo yao.