chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,380
- 5,871
Mkuu wanasema "A hungry man is an angry man",Maandamo yaliyofanya utawala wa nchi nyingi za kiarabu zianguke zilianzishwa na muuza matunda barabarani "Machinga",..watanzania wamechoka!!Utoto huu, zaidi ya inshu ya Akwilima hakuna la maana, kweli kuna mtu yupo radhi apoteze muda wake kuingia barabarani kwa ajili ya Abdul Nondo, kijana aliyekuwa anatafuta kiki.
Maandamano ya Mange nia yake mbona waliiweka wazi, kumuondoa Magu na kumuweka Samia Suluhu, huu ujinga nani atawatetea, kwa kuwa maandamano yenu hayana maana ndio maana hakuna mwananchi atakayejitokeza zaidi ya nyumbxxx wachache wa CDM ambao wataishia kupiga selfie na kurudisha mikia yao ndani.
Amani ya Tz italindwa kwa gharama yoyote, huu ujinga wa kujidanganya Tz hakuna amani ni ulevi wa amani pia. Hakuna jamii ya kimataifa itayokuelewa ukisema Tz hakuna amani eti kwa sababu Lissu amepigwa risasi, upo serious kweli? Hii ndio sababu ya kuita nchi haina amani.
Mwisho na muhimu, amani ikipotea hata familia yako itakuwa hatarini, huu ujinga wakufikiri eti amani ikipotea ataumia Magufuli mnaotoa wapi ? Yule mashavu Boniface Jacob kila siku anaropoka kuingia msituni familia yake imetembelewa tu anaanza kulia lia ovyo, sasa amani ikipotea mtambue pia ndugu zenu watapotezwa pia, nasubiria kuona maandamano Kilimanjaro tar 26/04.