trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 736
any more news?
huyu mtu alikuwa bado hajakamatwa? . Nashut down
The Jackal has to be convicted of about 11 murders and bombings in France,he commited about 30 years ago! Source Aljazeera TV..
"This man [Gaddafi] did more than all the revolutionaries ... Long live the revolution!" - Ilich Ramirez Sanchez |
Ramirez sowed fear across Europe and the Middle East during the Cold War |
mh, mh, mh, illich ramirez sanchez(carlos the jackal)......, jamaa alisumbua bana,, those were the times when spies forged foreign policies kwa intel info walizokua wanaripoti...,
Alitesa sana mtu huyu
... Carlos: The terror International! .. The best book explained how he terrorized the international community! Had His ego Twin .. Mohamedia Bodia!! Looked very Identical, their girls confused them, went the same university ... Patrice Lumumba ... Moscow!!
The man was notorious ... Is just too old to make a news today !!
Would you say that he was your HERO?
Carlos the Jackal Jina lake halisi ni Ilich Ramírez Sánchez, huyu alikuwa gaidi wa kimatifa alizaliwa mnamo October 12, 1949 Michelena huko Venezuela,kwa sasa anatumikia kifungo cha maisha katika gereza la Ufaransa kwa kosa la kuua mpelelezi wa serikali ya kifaransa na other two French counter-intelligence agents.
Alioa mke wa 1 kwanza 1985 named Magdalena Kopp na wa 2 alijulikana kama Isabelle Countant-Pyre kama sikosei huyu alimuoa mwaka 2001.
Wazazi wake wanajulikana kwa majina ya Elba Sanchez na Jose Ramirez au Navas.
Sijapata kusikia kuhusu historia ya yeye kuwa na watoto wa kuwazaa ila vichapo tofauti vinataja ndugu zake tu.
Alipata elimu ya katika chuo cha CATS College Canterbury, People's Friendship University of Russia na pia alisoma University of London.
Kwa kifupi sana hio ndio historia ya gaidi aliewahi kuitikisa dunia Carlos the Jackal. Je unakumbuka yapi kati ya matukio yake makubwa yalioitikisa dunia?
Alifanya UMAFIA Wake
Mwingi ila Alisalimu Amri Kwa Mzee Wangu Yoweri Kaguta Museveni Kwani
Kisa Cha Yeye Kukamatwa na Interpol Nchini Sudan ni Baada Ya Kupewa
Assignment na Rais Omar Ali Bashir wa Sudan Ya Kumuua Rais Wa Uganda ktk
Uwanja wa Kimataifa Wa Entebbe Kwa Kuwa Museveni Alikuwa Akiwaunga
Mkono Akina Hayati John Garang na Kikundi chake cha SPLA huku Bashir Nae
Akimuunga Mkono Muasi Wa Muda Mrefu Joseph Kony na Kundi Lake La LRA.
Kilichotokea Ni Kwamba Wakati Carlos The Jackal Akijaribu Kumvizia
Museveni Pale Uwanjani Kikundi cha Ulinzi Cha Rais Ambacho Pia
Kinaongozwa na Mwanae Muhoozi Kainerugaba Kiitwacho PGB ( Presidential
Guard Brigade ) Ambacho Sasa Kinaitwa SFC ( Special Force Command )
Walikuwa Imara Sana na Kucheza na Angles Of Dangers ( Nadhani Wana
USALAMA Haswa Wale wa VIP's ) Hapa Mtakuwa Mmenielewa na Pia Hata Ile
Trademark Hat Ya Museveni Nayo Ilikuwa ni Kikwazo Kikubwa Kwake Carlos
Kwani Alikuwa Akivizia Sana Sehemu Muhimu ktk Kichwa Cha Museveni ili
Akibonyeza tu Trigger Yake Basi Awe Ameshamaliza Kazi. Hakufanikiwa na
Alipoamua tu Kurudi Sudan Kuripoti Kwa Bashir Kuwa Ameshindwa na Apewe
Muda ili Ajipange Upya Wakamgeuzia Kibao na Kudai Kuwa Pengine Amechukua
Mlungula Kwa Baba Museveni na Haraka Sana Wakapiga Simu Nchini Ufaransa
Ambao Walikuwa Wakimsaka Kwa Udi na Uvumba na Kwa Hatimaye Kwa Msaada
Wa Askari Wa Interpol Wakaenda Kumkamata Jijini Khartoom. Ni Hayo tu
Wana JF........!!!!!!!
huyo jamaa alikamatwa baada ya ufaransa kufanya deal na iran ya kuwaachia magaidi wawili wa kiiran,in return iran waliokua na influence kubwa sudan,waliipressure sudan imkabidhi kwa ufaransa carlos.kipindi hicho carlos alikua kalazwa hospital akitibiwa majeraha,walimdunga sindano ya usingizi na kisha kuwakabidhi wafaransa.Alifanya UMAFIA Wake Mwingi ila Alisalimu Amri Kwa Mzee Wangu Yoweri Kaguta Museveni Kwani Kisa Cha Yeye Kukamatwa na Interpol Nchini Sudan ni Baada Ya Kupewa Assignment na Rais Omar Ali Bashir wa Sudan Ya Kumuua Rais Wa Uganda ktk Uwanja wa Kimataifa Wa Entebbe Kwa Kuwa Museveni Alikuwa Akiwaunga Mkono Akina Hayati John Garang na Kikundi chake cha SPLA huku Bashir Nae Akimuunga Mkono Muasi Wa Muda Mrefu Joseph Kony na Kundi Lake La LRA. Kilichotokea Ni Kwamba Wakati Carlos The Jackal Akijaribu Kumvizia Museveni Pale Uwanjani Kikundi cha Ulinzi Cha Rais Ambacho Pia Kinaongozwa na Mwanae Muhoozi Kainerugaba Kiitwacho PGB ( Presidential Guard Brigade ) Ambacho Sasa Kinaitwa SFC ( Special Force Command ) Walikuwa Imara Sana na Kucheza na Angles Of Dangers ( Nadhani Wana USALAMA Haswa Wale wa VIP's ) Hapa Mtakuwa Mmenielewa na Pia Hata Ile Trademark Hat Ya Museveni Nayo Ilikuwa ni Kikwazo Kikubwa Kwake Carlos Kwani Alikuwa Akivizia Sana Sehemu Muhimu ktk Kichwa Cha Museveni ili Akibonyeza tu Trigger Yake Basi Awe Ameshamaliza Kazi. Hakufanikiwa na Alipoamua tu Kurudi Sudan Kuripoti Kwa Bashir Kuwa Ameshindwa na Apewe Muda ili Ajipange Upya Wakamgeuzia Kibao na Kudai Kuwa Pengine Amechukua Mlungula Kwa Baba Museveni na Haraka Sana Wakapiga Simu Nchini Ufaransa Ambao Walikuwa Wakimsaka Kwa Udi na Uvumba na Kwa Hatimaye Kwa Msaada Wa Askari Wa Interpol Wakaenda Kumkamata Jijini Khartoom. Ni Hayo tu Wana JF........!!!!!!!