Caring na kujipedekeza ni mstari mdogo sana unaotofautisha mtu anaejipendekeza hufanya vile kukupa attention na mtu huyo hutaka kitu toka kwako mtu anaekujali.
Ni yule anaejua thamani yako na unaumuhimu gani kwake unaweza mjali akaona unajipendekeza, unaweza jipendekeza akaona kama unamletea usiku tuu.