Hilal Bakir Omar New Member Joined Mar 3, 2016 Posts 1 Reaction score 0 Jun 17, 2021 #1 Habari, Kwa wale wenye uelewa juu ya uanzilishi wa kampuni ya Cargo and Logistics, tafadhali naomba kufahamu documents zote zinazotakiwa pamoja na ada zake. Mungu awabariki sana.
Habari, Kwa wale wenye uelewa juu ya uanzilishi wa kampuni ya Cargo and Logistics, tafadhali naomba kufahamu documents zote zinazotakiwa pamoja na ada zake. Mungu awabariki sana.
rommy shabby JF-Expert Member Joined Jun 26, 2017 Posts 1,122 Reaction score 1,313 Jun 17, 2021 #2 Nasubiri waje nami nipate elimu