Mau Senior Member Apr 8, 2009 176 10 Apr 23, 2012 #1 Jamani wana JF kuna nafasi zilitangazwa na Care international, deadline ilikuwa tarehe 14 apr mwenye kujua mchakato umefikia wapi atufahamishe
Jamani wana JF kuna nafasi zilitangazwa na Care international, deadline ilikuwa tarehe 14 apr mwenye kujua mchakato umefikia wapi atufahamishe
E E52 Member Oct 31, 2010 81 14 Apr 23, 2012 #2 kaka bado hawajaita....mimi mwenyewe niliomba.....bado hawajaita watu kwenye interview....vuta subira mkuu...nina uhakika na ninachokisema
kaka bado hawajaita....mimi mwenyewe niliomba.....bado hawajaita watu kwenye interview....vuta subira mkuu...nina uhakika na ninachokisema